society of jesus
Member
- Nov 18, 2018
- 29
- 61
Courses kama LLB, PSPA,journalism na B.A economics hazifai kabisa unaweza kupigwa risasi mda wowote.
Mana ukisoma course hizo lazima uwe mbishi na unabishana na serikali au kila mtu la sivyo utaonekana hujafuvu vizuri.
Nature ya hizo course ni ubishi ukiwa mstaarabu wanasema wewe siyo wakili msomi au siyo mchumi mbobezi.
Ndiyo wanapigwa risasi daily mfano ni prof mwaikusa, tundu lisu na dr mvungi
Au unaweza kutekwa,na kupotezwa mda wowote kama azori gwanda