hahaha mambo ya derivative functionsChuo sijasoma hesabu; ila kidato cha sita nakumbuka differentiate dy over dx when x approaching zero
hesabu kama huzijui basi ni mama mkwe!!

Duh braza sio uchafu hata usome kozi gani utaniambia hata algebra and its application hujasoma pia kuna wana walikuwa na one na wamesoma mt chuoMimi mwenyewe nimesoma engineering coet na one yangu ya nne lakini sijui hizo hesabu, hizi zitakuwa wanasoma walimu vilaza wanaoingia Chuo na div 2 au 3, Coet hakujawahi kuwa na huu uchafu
Calculus and numerical method
.
Nasoma nifanye UE, nilikesha class mpaka saa ya mtihani na supp nikapata.
.
Majira ya saa 9 usiku Kuna mtu alikuja kusoma akanikuta. Akanambia "we dada wenzio wamelala, we unasoma Kama huji kuolewa"?
Nikacheka tuu nikaendelea na msuli wangu.

mambo ya parabola, hyperbola. Hii Mimi bado nilikiwa napenda chuo, haikuwa shida sana
Atari algebra and its application ilikaribisha chuo ila ABSTRACT algebra siwezi msahau huyu mdudud
Ni mwendo wa kukeshaCalculus and numerical method
.
Nasoma nifanye UE, nilikesha class mpaka saa ya mtihani na supp nikapata.
.
Majira ya saa 9 usiku Kuna mtu alikuja kusoma akanikuta. Akanambia "we dada wenzio wamelala, we unasoma Kama huji kuolewa"?
Nikacheka tuu nikaendelea na msuli wangu.
instructor alikuwa nani??