kuna hii couple ilihit sana humu ndani......Hashycool na Nilham....sijui wamepotelea wapi.......
ngoja nimuulizie kali kama vipi.Nalog offWasha mbona hio kali!! Unanisakazia kwa mtu hata wewe wamuogopa?? Dah! lol
kuna hii couple ilihit sana humu ndani......Hashycool na Nilham....sijui wamepotelea wapi.......
Preta mbona Hashy Cool anadai yupo so in LOVE saana na Michelle (Apart from Klorokwini na MTM - thou huyu yawezekana nimemuonea....lol) na aweza hata Mtema Halle Berry kwa ajili yake....
ngoja nimuulizie kali kama vipi.Nalog off
ina maana Hashycool keshatemwa na Nilham......?.....
no,i don't know what u mean! Nalog offHapana usihangaike, nilonae anishibisha.... BTW Washawasha i am humbled Mkuu... (you know what i mean)
mafichoni???? eleza upesi ni wapi!!!Laziz wangu...ndio nimeibuka toka mafichoni! hebu niambie nani leo kakubugudhi hapa jamvini nianze kumshughulikia!
no,i don't know what u mean! Nalog off
nilikuwa namvizia mwivi wangu hapa jamvini....ana bahati hajaitokea! mi full kukulinda yani!mafichoni???? eleza upesi ni wapi!!!
nishakwenda na nimeshausoma,nashukuru sana.Nalog offNenda basi kwenye Profile yako, nakuachia ujumbe.
Hahahah weee mkorofi sana! Sasa mchungaji jamani si yuko huko visiwani jamani! Lol nilikuwa sijaiona hii nimetabasamu tu
jamani mwenzenu nalindwaa! dahh! rahaaa!! thenx my laazizi rrejao!!!nilikuwa namvizia mwivi wangu hapa jamvini....ana bahati hajaitokea! mi full kukulinda yani!
jaribu mwaya na ww bahati yako,waweza kupata zali kama la mahbuba wanguREJAO!Huu utani utani mwishowe unaweza kujiopolea totoz hapa hapa jf kiukweli kweliii
Khaaa!Rejao na (hata sielewi kati ya hawa) SL, Smile, FB ........................
Preta acha kulazimisha ndoa,hilo jina la Kabakabana unaona limekaaje...mbona kama jinsia mbilikuna hii couple mpya Dena......Kabakabana na Excellent......