Che Kalizozele
JF-Expert Member
- Jul 20, 2008
- 777
- 50
nyie watu mnanitafuta vijineno
CK mimi nina mume tayari jana tena nikaongezewa 3 sasa huu si ufisadi wakati wengine hawana hata mmoja
hapo mi nimekosea wapi jamani??????
bahati iliyoje kwa bht anaipenda na kuiheshimu IMANI yake lakini papo hapo anampenda mumewe(mchumba).....Congrats mwayahahaaaaa hujatulia wewe
sasa kuna ubaya kugawa wachumba nlopewa jana maana mie nin mume wangu B, bado mmenijazia wengine mie sihitaji.
kuna ubaya hapo?? dini yangu inaruhusu mume mmoja mke mmoja.......
mmmmhhhhh!!!
hahaaaaa hujatulia wewe.......
Mmmmmh,huyu bado zimo kichwani,si bure.
Siyo vyote bana CK, vingine jilie mwenyewe kwa raha yako ukitaka kula na wengine walafi kama niniMwaya haujakosea kitu chochote hapo,kwani kizuri si unakula na mwenzio.
Mwaya haujakosea kitu chochote hapo,kwani kizuri si unakula na mwenzio.
bahati iliyoje kwa bht anaipenda na kuiheshimu IMANI yake lakini papo hapo anampenda mumewe(mchumba).....Congrats mwaya
bahati iliyoje kwa bht anaipenda na kuiheshimu IMANI yake lakini papo hapo anampenda mumewe(mchumba).....Congrats mwaya
Siyo vyote bana CK, vingine jilie mwenyewe kwa raha yako ukitaka kula na wengine walafi kama nini
bora hata umeliona hilo......asante mwaya eeh
Muheshimiwa spika naomba muongozo hapo kwenye red-Ni mume au mchumba.
Siyo vyote bana CK, vingine jilie mwenyewe kwa raha yako ukitaka kula na wengine walafi kama nini
Umeona sasa ndimu za jana zinakuumiza ehee!!!
hehhe angalau madereva wamekuwa watiifu usiku wa jana, inaonyesha waumini wameanza kujua umuhimu wa kwaresimahahaaaaa ICU leo inaelekea hujapokea majeruhi wa ajali za barabarani weweeee!!!
BHT is married to B..........
swali la nyongeza??
huwa mnawasingizia Wamasai tu, na zile habari za kuchomeka mkuki nje ya mlango, nao wana wivu jamaniOoooh,unataka kuharibu maneno ya wazee kwa kuweka maneno yako,Wenyewe hawakuweka exceptions na ndio maana wamasai hawakuwa na hiyana walishare everything,I mean everything.
Nashukuru Muheshimiwa spika kwa majibu yako mazuri,ningeshauri katibu ayaweke haya majibu katika ansad ya kikao chetu hiki cha leo.
Ooooh,unataka kuharibu maneno ya wazee kwa kuweka maneno yako,Wenyewe hawakuweka exceptions na ndio maana wamasai hawakuwa na hiyana walishare everything,I mean everything.
huwa mnawasingizia Wamasai tu, na zile habari za kuchomeka mkuki nje ya mlango, nao wana wivu jamani
Fidel do ze nidful.......weka hii maneno kwa hansadi sijui huyu anasema......
Keyboard inateleza dada.
]Lilyflower + rayB ([watacope]
Fidel + Maria Roza (hapa kutakesha)