PJ, huyu Askofu wa JF ni kutoka lile dhehebu wanalooa, i think soLakini na ikumbukwe kwamba Askofu nae anaeza akaoa au asioe kufuatana na kwamba ni wa madhehebu gani...sasa tuambie weye ni askofu wa naniliu gani, ili kama vipi tukutafutie kapo...huh!😀
Annina wewe couple wako ni nani?
hahahahahahahahahhhahahah umenikumbusha ndoa za pamoja ibadani mwetu ni nzuri sana lakini zina challenge yake kama mtaani ni mtanuaji maana perception yake ni kipato kidogo kitu ambacho sio kweli lakini
bado unawinda tu ICU.......???
Ungekuwa SHE mi ningekugaia wangu mmoja...................
jana ulikunywa nn? si n'chezo
maji ya ndimu.....
maji ya ndimu.....
Lakini na ikumbukwe kwamba Askofu nae anaeza akaoa au asioe kufuatana na kwamba ni wa madhehebu gani...sasa tuambie weye ni askofu wa naniliu gani, ili kama vipi tukutafutie kapo...huh!😀
Ndo maana umeamka hivyo lol nenda kanywe maji lita 2.
nimeamkaje kwani???
Yakiwa na pilipili kwa mbaaaaaaali,lazima ubongo uchangamke.
Umeamka tofauti kabisa
hebu jieleze ueleweke acha kupapasapapasa keybodi hapo.........tofauti iko wapi...
CK inaelekea uliniona nikiyagida weweee eeh!!!
Huko nyuma hukuwa hivyo jiangalie.
Huko nyuma hukuwa hivyo jiangalie.
no,nikisema nilikuona x-pin sasa hivi atakuja kudai solid evidence.ingawa siku zote uwa ni mchangamfu lakini leo umekuwa umchangamfu zaidi mfano wa nyani aliyerambishwa ukwaju.
No,nikisema nilikuona X-pin sasa hivi atakuja kudai solid evidence.Ingawa siku zote uwa ni mchangamfu lakini leo umekuwa umchangamfu zaidi mfano wa nyani aliyerambishwa ukwaju.
mmmmhhhhh!!!
Mmmmmh,huyu bado zimo kichwani,si bure.
yeeeeeeh!!!