Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
- Thread starter
- #421
Nakuelewa sanaTo all JF couples nawapenda nanyi pendaneni miaka miaView attachment 500628
Nakuelewa sanaTo all JF couples nawapenda nanyi pendaneni miaka miaView attachment 500628
Namtazamia Coletha lol

We mchokozi!!! Wenzako hatukua exclusive
Asikutishe huyo!!! Nimekuchagua wewe!!!Tupangie pambano basi na mume mwenzangu tuone nani atapinga long trip siku hiyo.
Umemchagua yeye serious? Maana yake nimeshapoteza pambano hata kabla ya pambano lenyewe?Asikutishe huyo!!! Nimekuchagua wewe!!!
Nilijua tu utamchagua yeye hivyo nikaamua kuwaaddress kwa jamii.We mchokozi!!! Wenzako hatukua exclusive
Najua mngepambana ungeniumizia bigmind wangu...Umemchagua yeye serious? Maana yake nimeshapoteza pambano hata kabla ya pambano lenyewe?
Ila bigmind jihadhari. Usiombe pambano na mimi. Utalia na kusagana mbupu
Nilijua tu utamchagua yeye hivyo nikaamua kuwaaddress kwa jamii.



Why Error....??Loading error..........
Usintafte ubaya
SijakuelewaKunao uzi unaelezea hizi couple mkuu
Salamu hizi zitufikie popote tulipoNajua mngepambana ungeniumizia bigmind wangu...
Sitaki ata ukucha wake ukatike..!
Bigmind ni my number one, wengine wote ni michepuko![]()
hamnaaNini tena??
The walking died, 😀😀😛Nimepotea kivipi sasa wakati mie mwenzio ndiyo nimekufa nimeoza kabisa.
hamnaa