Yani ndugu yangu
Daby pamoja na u hendsome na pesa zako nyingi ila CV limeshaingia matope .
Ha ha ah yani wadada wote at last wameshaelewa japo ni too late umeshawapiga wengi ila at last wameelewa somo.
Bora wakukimbie tu sa hivi wasije wakatuulia ndugu yetu.