Nani kasema 99% ni wakristo acha uongoo
Somalia haijaangamiaa kenya na ethiopiia wanataka kuuangamiza somalia
kwanini hayendi s.s ?au mpaka wamalizane?kuna vita mbaya sana jamhuri ya africa ya kati! Tena imegeuka na kua vita ya kidini na imepelekea mpaka majeshi ya ufaransa kwenda pale rca!
hitler kwani alikuwa muafrika?miafrika ndivyo tulivyo - nyani ngabu
Miafrika Ndivyo Tulivyo - Nyani Ngabu
99% ya wakazi wa huko ni cristian. sasa hivi dakika yoyote sudan ya kusini itasambaratika.mauji ya kuviziana kama ya somalia yanatokea.
ni wakati muafaka kuomba isijekutokea kama somalia.
kumbe Machafuko haya dini?na hayana kabila?
kwanini hayendi s.s ?au mpaka wamalizane?
Nani kasema 99% ni wakristo acha uongoo
Somalia haijaangamiaa kenya na ethiopiia wanataka kuuangamiza somalia
Wameenda kulinda maslahi ya coalition of willing, Kwa vile south Sudan ni mdau wa project zao.kuna utajiri wa mawese hakuna cha kulinda hapo.ngoja marekani nae aje kutoa msaada wa chakula
Mkuu, Wamerikani wanacho tafuta kule ni kutaka ku-counter influence ya Wachina nchini Sudan ya Kusini na Africa Mashariki - kumbuka Visima vya mafuta na pipelines Sudani ya Kusini zilijengwa na bado vinasimamiwa na Wachina - mafuta ya Sudan ya Kusini yanasafirishwa kwa wingi kwenda Uchina! Uganda na Kenya wakijingiza katika mapigano kumsaidia Rais, nina wasi wasi kwamba Sudan ya Kasikazini inaweza kumsaidia makamu wa Zamani Wa Rais (Kirr) hivyo kuchochea a civil war kirahisi; Al-Bashir angependa sana Wasudan kusini wapigane wenyewe kwa wenyeshe ili hiwe raisi kwao kuwasambaratisa na kuwaibia mafuta yao.kama nilivyotabiri,tayari marekani wameingia kwanza kwa mgongo wa kutoa msaada wa kibinadamu.tusubiri tuone