Coup Attempt in S. Sudan Quashed

Coup Attempt in S. Sudan Quashed

[h=2]outh Sudan President sends to TB Joshua to pray for peace[/h] Posted by TB Joshua Fans UK Blog on December 29, 2013 in Saturday and Sunday Service Review

[COLOR=#]Rate This[/COLOR]​

TB Joshua Church Nigeria | tbjfansuk.wordpress.com
Like in a carnival, with thousands of people singing and dancing, and hundreds of flags from different countries flying across the fully packed auditorium, the President of Malawi, Joyce Banda and husband, on Sunday worshipped at the Synagogue Church of All Nations, SCOAN, in Ikotun area of Lagos, western Nigeria.
Going by her strong and long applause, Banda seemed to have been well entertained by a professional South African opera singer, Kimmy Skota, who rendered a moving song (Pie Jesu – Merciful Jesus) after telling the crowd that she was recently delivered by the Synagogue church in London.
Onazi Ogenyi, a professional soccer star with Lazio Football Club in Italy also entertained the huge and multi-racial worshippers with his keyboard. The dancing and singing were relayed live on Emmanuel Television and beamed on over 50 screens in the expensively built church.
Malawi’s first couple was formally welcomed into the church by Prophet T.B. Joshua, the founder of SCOAN. TB Joshua also announced the presence of a delegation from President Salva Kiir of crisis-ridden South Sudan, who to receive prayers for peace. The Malawi first couple arrived the church as early as 8.30 a.m. with their entourage of about ten persons, but it was not until 12.34 p.m. that T.B. Joshua made his first appearance in the church and promptly introduced the president and her husband. By that time, Banda had taken her first break at 11.43 a.m., having waited for over three hours.
president-salva-kiir.jpg
President Salva Kiir

While her husband appeared very fit and remained standing, even dancing during hours of praise and worship songs, Banda stood up and sat down several times and remained seated much of the time.
But the carnival like church service turned grim when T.B. Joshua began unveiling his prophecies for the year 2014. The man in the Synagogue, as T.B. Joshua is known said 2014 will be a hard year with many African banks and airlines closing shop. He said there will not be enough money to sustain many banks and many planes will get damaged and there will not be enough money to buy new ones. “There will be more demand than supply,” he said. He said the year 2014 will be like a bridge where many will fall off and some will cross it with ease.
He said it will be a very difficult year for the wicked but those who do good and serve Jesus will be fulfilled. “There will be a lot of challenges for the mighty and powerful next year,” he said, adding that “2014 is a year of bridge. It’s a year of destiny”. He said those involved in farming will have a great year even though money will be scarce and hardship will expand. By the time he was done with ministering to attend to about 3000 people who came for healing and miracles, Banda and her entourage took their second break 2.18 p.m.
For the next three hours, T.B. Joshua was performing healing and miracles on thousands of people on the prayer line. At 6.20pm, Banda returned to the auditorium, with two bodyguards. Banda and husband arrived Nigeria two days ago for prayers in the church of a man she describes as her “spiritual godfather”. The Malawi first couple will return home Monday.

Source : South Sudan President sends to TB Joshua to pray for peace | TB Joshua Fans UK Blog
 
huyo raisi ni chanzo cha tatizo, vitu vingine si vya kuombea
 
ulimsikia msemaji wa serikali ya china jana, anasema wanaenda kinyume kabisa na matumizi ya nguvu/vita, that means, hawataki nchi nyingine kusapoti Kiir kivita kumpiga makamu wake. watu wengi wanajiuliza, kwasababu kiiri yuko biased zaidi magharibi kuliko china au amewabania nini wachina wanaowekeza kwenye mafuta kule south sudan hadi wanakuwa hawako upande wake? na je, nchi za kenya, uganda, ethiopia na rwanda zikienda kumuunga mkono kiiri yeye makamu unafikiri kiburi anatoa wapi? silaha anatoa wapi? si atazitoa china kupitia adui mkubwa wa kiir north sudan kirahisiiiiii.....salva anataka suluhu, makamu anasema suluhu pekee atakayoifanya ni pale kiir atakapoondoka madarakani. nawatakia wasuluhishane wasije sambaratisha nchi yao changa.

CHINA atatuletea shinda hata sisi
 
kikubwa ni hivi unajua uhuru wa Sudani kusini ulipatikana kwa njia ya makubaliano au maridhiano tunaweza kusema kama jinsi amani ya Zanzibar ilivyo patikana baada ya mauaji ya siku nyingi. kumbuka Seif Hamad alivyoingizwa kwenye system kwa maslahi ya amani ya wazanzibar.

Turudi Sudani,
kwa miaka mingi Sudani Kusini ilikua katika vita ya wenyewe kwa wenyewe na pia vita ya kujiondoa kaskazini na ukizingatia utajiri wa mafuta. kwa hiyo hadi Sudani Kusini inakuwa huru ilikuwa ni katika misingi ya uasi (rebels) kama M23 wa DRC)

Walipopata uhuru jitihada za umoja wa mataifa zilikuwa kufanya makundi mbalimbali ya uasi yawe kitu kimoja ili kumaliza mauaji. makundi makubwa yaliyokuwepo ni mawili, kundi la kabila la Mpinzani mkuu (muasi) Kiir, na mpinzani mwenzake Machar ( Rais) ambaye ni msomi ila wote walikuwa na vikundi vya uasi. walipounda serikali wote waliokuwa wahasimu waliahidiwa madaraka katika serikali na taratibu taratibu kuanzishwa kwa mfumo wa democrasia hasa katika uchaguzi. kwa hiyo hawa jamaa wote ambao kumbuka wana uungwaji mkono jeshini kwa sababu kila mtu aliingiza kikundi chake cha uasi jeshini.

Sasa kwa kuwa Rais kukosolewa ni jambo la kawaida huyu raisi Machar alikuwa hataki kukosolewa kama Museveni katika sera zake na hasa wakimtuhumu katika mgawanyo wa raslimali kama mafuta. sasa yeye alivyoona jinsi muda wa kuchaguliwa unakaribia kama huu wa kwetu akaamua kuwafukuza wale wote ambao aliona ni wakosoaji wakubwa na kujidai hakumbuki pia wao pia ni wababe wa vita na wana majeshi ya kwenye jeshi la serikali. akaamua kuwafukuza kazi kuanzia aliekuwa makamu wa raisi na mawaziri wengine kama wanne jumla alifukuza wababe wa vita kama watano kwa mkupuo. kwa hiyo vuta nikuvute ikaanza jeshini na ilikuwa inafukuta inasubili loose points ili ijitokeze, mwishowe kukawa na mgongano wa amri kila mtu anamsikiliza bosi wa mlengo wake kule jeshini na hata structure ya haya majeshi yamekaa katika muundo wa magroup yaleyale ile complete mix haipo kwa hiyo hata mutiny inatokea kirahisi sana kwani unakuta kundi moja zima zima liko mahali pamoja. basi mgongano ukaanza kwa walinzi wa raisi ambao walikua wanatokea makundi tofauti tofauti na wale wa kundi ambalo liko royal kwa raisi. wakashambuliana na immediately ikawa ni national wide cirsis in a single day ikiwa ina maanisha mgogoro ulikuwa upo ila ulikuwa unasubili pa kulipukia.

kwa hiyo kosa la rais ni kusaliti makubaliano yaliyounda serikali na kutaka kuwaondoa wapinzani wake madarakani ili kuzima upinzani wowote juu yake huku akijua kabisa hao watu wote walikuwa ni waasi including yeye mwenyewe
 
Naomba kuelimishwa kidogo, huyo raisi kachangia vipi kuanza kwa hii vita??? Ahsante

This story is biased. We need to read from Kirr side.

We understand that the aftermath of John Garang death was embroiled in fierce power struggle between factions of Marchar and those of Kirr. Mr. Garang has already hand-picked Kirr, should anything happen to his life. It happened and went the hereditary way. It is no secret that Marchar is power thirst whom under the pretense of democracy has been trying to push constitutional changes in his favor without considering the need of the large community. Apparently, in a country where total length of tarmac roads is 100 km and 20% of pupils attend primary school, majority don't even understand what constitution is all about! If Mr. Marchar feels the agony of his dying people, from war and hunger, he should have been the first to stop his men from firing. That is how a good leader is made of. Mandera stop the seemingly genocide of 4 ml white by 44 ml blacks, He is a hero and will remain so. Marchar is a butcher, does n't deserve even a street leadership..

It is no different from other stupid people in Tanzania who plead for blood if they wishes are not accomplished. Unfortunately, like the martyr of Muslim suicide bombing, non of the perpetrators take the bomb to enjoy the etenal fraternity life they preach.

All in all, Africa remains Africa, no matter what happens to shape
 
Back
Top Bottom