Tokyo40
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,065
- 1,926
Katika mchezo huu, unapewa dakika 12 kuandika nchi zote katika box, moja baada ya nyingine.
Kila nchi unayoiandika inabadili rangi na kuwa ya kijani katika ramani.
Kuna nchi 196.
Ukimaliza, andika score yako.
Kwa mfano yangu ni 85/196.
Bonyeza "Give up" ukikwama ili uone score yako.
Anza tena kwa kubonyeza "Take Quiz Again".
Enjoy it.
http://www.jetpunk.com/quizzes/how-many-countries-can-you-name.php