Unataka kusema watarudi kama mbogo aliyejeruhiwa.Walikuwa wanatingisha kibiriti tu wamekuta kimejaa sasa wanagwaya na kutafuta pakutokea. Wakishindwa kujivua gamba basi Lowassa, RA na Chenge ndio watakuwa the most powerful people kule kwa akina magamba na hivyo kuanza kutengeneza mtandao wao mwingine kuelekea 2015 ili kuhakikisha Lowassa anaingia Ikulu.
Unataka kusema watarudi kama mbogo aliyejeruhiwa.
Nafikiri kila kitu tayari umeshakisema hapo! Sijui unataka maoni gani tenaMaoni yangu inawezekana kwa vile waliambiwa wajipime wenyewe labda wamejipima na kuona hakuna sababu ya wao kuondoka.Vile vile kwa upande mwingine wanaowataka wenzao kuondoka labda nao wamejipima wakaona hawana sababu za msingi kuwataka wenzao kuondoka.Nini mawazo yako.
Nina wasiwasi kama masikio yako yasikia vizuri! Au kusoma hujui.Ilitajwa in terms of scale, 90dys=90yrs guys. Oooh! Sorry, walikanusha kuwa hawakutoa siku tajwa.
Teh! teh! Teh! Safi sana mkuu!Ilitajwa in terms of scale, 90dys=90yrs guys. Oooh! Sorry, walikanusha kuwa hawakutoa siku tajwa.
Labda, tusubiri tusikie/tusome.Nina wasiwasi kama masikio yako yasikia vizuri! Au kusoma hujui.