mechi za Simba na Yanga zlizochezwa usiku ilikuwa kama hivi
1-1975 klabu bingwa Africa mashariki na Kati uwanja wa Amani Zanzibar Yanga 2 Simba 0
2-1991 klabu bingwa Afrikca Mashariki Uwanja wa Amani Zanzibar dakika 120 Simba 1 Yanga 1 katika penati Simba 9 Yanga 8
3- 1992 klabu bingwa ya Muungano uwanja wa Amani Zanzibar Simba 1 Yanga 0
4-2010 kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amani Zanzibar Simba 2 Yanga 0
5-2011 Ngao ya hisani Uwanja Mkuu wa Taifa Simba 2 Yanga 0
6- tarehe 3 october 2012 Uwanja mkuu wa Taifa ligi ya Vodacom- Simba ? Yanga?
Maneno tu, kwa TZ mi natofautiana sana na ww!Hahaha, jana (Chelsea) tumefanya mauaji, nowadays naishi kwa amani, vijana hawajaniangusha.Leo wewe ni mtani eh? Mnyama anawatandika tano tena hahahaha, au unabisha?