Wanabodi,
Preamble : Naunga mkono kwa asilimia 100% juhudi zinazofanywa na rais wetu mpendwa Mhe Dr John Pombe Joseph Magufuli katika kulinyoosha taifa hili ikiwemo tumbua tumbua ya majipu, ila siungi mkono tumbua tumbua hii ikifanywa kwa double standards, wengine wakifanya wanatumbuliwa na wengine wakifanya yale yale wao watakuwa spared! .
Tangu kuanza kwa zoezi la tumbua tumbua, huko nyuma niliisha wahi kuilalamikia double standards katika zoezi hili.
Leo nimekutana na bandiko hili humu jf ambalo halikudumu likidhania tumbua tumbua ni standard ukidanganya unatumbuliwa right away! .
Kila mtu na bahati yake au na bahati mbaya yake. Kufukuzwa kwa Mama Kilango ilikuwa ni bahati mbaya tuu lakini Ummy hawezi kufukuzwa kufuatia kama ungekijua kilichomfanya ateuliwe, utaelewa hawezi kufukuzwa hata aboronge vipi! . Hata ningekuwa mimi, siwezi kumfukuza. Kuna watu wanafukuzika na kuna wengine hata wafanye nini, hawafukuziki na hawatumbuliki kwa sababu, waliteuliwa kwa sababu na sio waliteuliwa tuu!. ...Ummy ni mmoja wao!.
Lazima tufike mahali tuwe na uniform standards za hizi tumbua tumbua, you mess, you just go, wala usisubiri kumsumbua rais wetu kukutumbua! ,rais yuko bize na mambo muhimu zaidi kwa taifa hili na sio kuanza kuhangaika na individuals, baada ya ku set standards za ukweli kwenye serikali yake, that is the path to follow, you miss one step, you fall! .
Excuse kuwa alidanganywa doesn't hold water kwa sababu hata Kilango alidanganywa!, unless kwa sababu mwingine ni hivi na yule mwingine ni vile? .
Namalizia kwa kurudia swali
Could There Be A Double Standards Kwa Viongozi Wadanganyifu?!. Wengine Wanakuwa Fired na Wengine Wanakuwa Spared?!.
Paskali