Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,686
- 134,419
- Thread starter
- #61
Najaribu kuwaza huyu waziri aliyesema haya Hussein Bashe: Hatutapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi wa Pamba Kisesa na bado yuko ofisini, na ku compare and contrast na huyu Kuelekea 2025 - Kwa kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu, anastahili kulaumiwa au kupongezwa kwa kuusema ukweli? aliyesema ukweli wa kinachofanyika kwenye chaguzi zetu, nani amefanya a grave mistake ya kustahili kutumbuliwa on the spot?.Wanabodi,
Preamble : Naunga mkono kwa asilimia 100% juhudi zinazofanywa na rais wetu mpendwa katika kulinyoosha taifa hili ikiwemo tumbua tumbua ya majipu, ila siungi mkono tumbua tumbua hii ikifanywa kwa double standards, wengine wakifanya wanatumbuliwa na wengine wakifanya yale yale wao watakuwa spared! .
Lazima tufike mahali tuwe na uniform standards za hizi tumbua tumbua, you mess, you just go, wala usisubiri kumsumbua rais wetu kukutumbua! ,rais yuko bize na mambo muhimu zaidi kwa taifa hili na sio kuanza kuhangaika na individuals, baada ya ku set standards za ukweli kwenye serikali yake, that is the path to follow, you miss one step, you fall! .
Could There Be A Double Standards Kwa Viongozi Wadanganyifu?!. Wengine Wanakuwa Fired na Wengine Wanakuwa Spared?!.
Kufanya jambo lolote kwa double standard sio kuwatendea haki wengine, na siku zote haki isipotendeka, mzee karma lazima aingilie kati!.
Paskali
Nauliza tuu!. Karma is Real!, Kutumbuliwa ni Karma za Matendo Yako!. Ukitumbuliwa Kwa kosa la Kuusema Ukweli, ni Uonevu!, Rejoice!, Karma Itakufidia na Kukulipia!
P