Could There Be A Double Standards Kwa Viongozi Wadanganyifu?!. Wengine Fired, na Wengine Spared?!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
59,677
Reaction score
134,390
Wanabodi,
Preamble : Naunga mkono kwa asilimia 100% juhudi zinazofanywa na rais wetu mpendwa Mhe Dr John Pombe Joseph Magufuli katika kulinyoosha taifa hili ikiwemo tumbua tumbua ya majipu, ila siungi mkono tumbua tumbua hii ikifanywa kwa double standards, wengine wakifanya wanatumbuliwa na wengine wakifanya yale yale wao watakuwa spared! .

Tangu kuanza kwa zoezi la tumbua tumbua, huko nyuma niliisha wahi kuilalamikia double standards katika zoezi hili.

Leo nimekutana na bandiko hili humu jf ambalo halikudumu likidhania tumbua tumbua ni standard ukidanganya unatumbuliwa right away! .
Kuna uwezekano mkubwa Waziri wa Afya Dr Ummy Mwalimu akafukuzwa kazi na nafasi yake kujazwa na Dr Hamis Kigwangalla kwa kumdanganya Rais kuhusu uhaba wa dawa hospitalini.

Tukumbuke kwamba Rais alimfuta kazi Anne Kilango kwa kumdanganya kuhusu wafanyakazi hewa. Itakuwa ni ajabu sana ikiwa Magufuli ataacha kumfuta kazi waziri huyu kwa kumdanganya kwa makusudi. Akishindwa kufanya hivyo basi amrudishe Kilango kwenye nafasi yake, vinginevyo tutajua alimfuta kazi mama Kilango kwa chuki binafsi.
Nawasilisha.
Kila mtu na bahati yake au na bahati mbaya yake. Kufukuzwa kwa Mama Kilango ilikuwa ni bahati mbaya tuu lakini Ummy hawezi kufukuzwa kufuatia kama ungekijua kilichomfanya ateuliwe, utaelewa hawezi kufukuzwa hata aboronge vipi! . Hata ningekuwa mimi, siwezi kumfukuza. Kuna watu wanafukuzika na kuna wengine hata wafanye nini, hawafukuziki na hawatumbuliki kwa sababu, waliteuliwa kwa sababu na sio waliteuliwa tuu!. ...Ummy ni mmoja wao!.

Lazima tufike mahali tuwe na uniform standards za hizi tumbua tumbua, you mess, you just go, wala usisubiri kumsumbua rais wetu kukutumbua! ,rais yuko bize na mambo muhimu zaidi kwa taifa hili na sio kuanza kuhangaika na individuals, baada ya ku set standards za ukweli kwenye serikali yake, that is the path to follow, you miss one step, you fall! .
Excuse kuwa alidanganywa doesn't hold water kwa sababu hata Kilango alidanganywa!, unless kwa sababu mwingine ni hivi na yule mwingine ni vile? .
Namalizia kwa kurudia swali
Could There Be A Double Standards Kwa Viongozi Wadanganyifu?!. Wengine Wanakuwa Fired na Wengine Wanakuwa Spared?!.

Kufanya jambo lolote kwa double standard sio kuwatendea haki wengine, na siku zote haki usipotendeka, mzee karma lazima aingilie kati!.
Paskali
 
Wanabodi,
Preamble : Naunga mkono kwa asilimia 100% juhudi zinazofanywa na rais wetu mpendwa Mhe Dr John Pombe Joseph Magufuli katika kulinyoosha taifa hili ikiwemo tumbua tumbua ya majipu, ila siungi mkono tumbua tumbua hii ikifanywa kwa double standards, wengine wakifanya wanatumbuliwa na wengine wakifanya yale yale wao watakuwa spared! .

Tangu kuanza kwa zoezi la tumbua tumbua, huko nyuma niliisha wahi kumlalamikia double standards katika zoezi hili.

Leo nimekutana na bandiko hili humu jf ambalo halikudumu likidhania tumbua tumbua ni standard ukidanganya unatumbuliwa right away! .
Kila mtu na bahati yake au na bahati mbaya yake. Kufukuzwa kwa Mama Kilango ilikuwa ni bahati mbaya tuu lakini Ummy hawezi kufukuzwa kufuatia kama ungekijua kilichomfanya ateuliwe, utaelewa hawezi kufukuzwa hata aboronge vipi! . Hata ningekuwa mimi, siwezi kumfukuza. Kuna watu wanafukuzika na kuna wengine. ...Ummy ni mmoja wao!.

Lazima tufike mahali tuwe na uniform standards za hizi tumbua tumbua, you mess, you just go, wala usisubiri kumsumbua rais wetu kukutumbua! ,rais yuko bize na mambo muhimu zaidi kwa taifa hili na sio kuanza kuhangaika na individuals, baada ya ku set standards za ukweli kwenye serikali yake, that is the path to follow, you miss one step, you fall! .

Excuse kuwa alidanganywa doesn't hold water kwa sababu hata Kilango alidanganywa!, unless kwa sababu mwingine ni hivi na yule mwingine ni vile? .

Namalizia kwa kurudia swali
Could There Be A Double Standards Kwa Viongozi Wadanganyifu?!. Wengine Wanakuwa Fired na Wengine Wanakuwa Spared?!.
Pasco
Pasco unataka Mhe. Rais Magufuli aendelee kufukuza mpaka lini kwani Mwenyezi Mungu ameumba kila mwanadamu na mapungufu yake.
 
Wanabodi,
Preamble : Naunga mkono kwa asilimia 100% juhudi zinazofanywa na rais wetu mpendwa Mhe Dr John Pombe Joseph Magufuli katika kulinyoosha taifa hili ikiwemo tumbua tumbua ya majipu, ila siungi mkono tumbua tumbua hii ikifanywa kwa double standards, wengine wakifanya wanatumbuliwa na wengine wakifanya yale yale wao watakuwa spared! .

Tangu kuanza kwa zoezi la tumbua tumbua, huko nyuma niliisha wahi kuilalamikia double standards katika zoezi hili.

Leo nimekutana na bandiko hili humu jf ambalo halikudumu likidhania tumbua tumbua ni standard ukidanganya unatumbuliwa right away! .
Kila mtu na bahati yake au na bahati mbaya yake. Kufukuzwa kwa Mama Kilango ilikuwa ni bahati mbaya tuu lakini Ummy hawezi kufukuzwa kufuatia kama ungekijua kilichomfanya ateuliwe, utaelewa hawezi kufukuzwa hata aboronge vipi! . Hata ningekuwa mimi, siwezi kumfukuza. Kuna watu wanafukuzika na kuna wengine. ...Ummy ni mmoja wao!.

Lazima tufike mahali tuwe na uniform standards za hizi tumbua tumbua, you mess, you just go, wala usisubiri kumsumbua rais wetu kukutumbua! ,rais yuko bize na mambo muhimu zaidi kwa taifa hili na sio kuanza kuhangaika na individuals, baada ya ku set standards za ukweli kwenye serikali yake, that is the path to follow, you miss one step, you fall! .
Excuse kuwa alidanganywa doesn't hold water kwa sababu hata Kilango alidanganywa!, unless kwa sababu mwingine ni hivi na yule mwingine ni vile? .
Namalizia kwa kurudia swali
Could There Be A Double Standards Kwa Viongozi Wadanganyifu?!. Wengine Wanakuwa Fired na Wengine Wanakuwa Spared?!.
Pasco

Kwa sababu hatuna standard Sheria na Katiba inayofuatwa,hivyo hatuna ulazima wakujitumbua kabla hujatumbuliwa.Nchi za wenzetu zimeweka hiyo hata ukifumaniwa guest,wewe anza,kama uliingia na box ofisini pack na uende.I wish kwa Afrika ingekuwa hivyo pia.Lakini lile jini la KULINDANA limeshatudhuru sote.

Kama JKN hakuonyesha njia ya kuwajibika hakuna RAIS atakayekuja atakayeweza kumwajibisha waziri aliyemteua hata kama akiiba au kula RUSHWA.

Tukipata KATIBA itakayoanza kumuajibisha RAIS kabla ya Mbunge then labda tutaweza kujenga UWAJIBIKAJI miongoni mwetu,hakutakuwa na sababu ya kuwatafuta akina Lipumba kuwalipa mabilioni wavunje vyama vya upinzani.
 
Ummy Mwalimu anapaswa kufukuzwa mapema sana. haiwezekani hakuna madawa muhimu na yeye anachekacheka tu
Ummy hana kosa acheni kujizungushazungusha kama hamuoni makosa...

PESA YA DAWA NA MAHITAJI MENGINEYO MUHIMU MKULU KAAGIZA IMENUNULIA NDEGE....BOLD AND CLEAR....KUCHAGUA NI KUPANGA NA KUPANGA NI KUAMUA....sioni kosa la ummy mwalimu wala ummy mwanafunzi hapo.

PIA KAMA MAMA KILANGO ALIKOSEA MBONA UHAKIKI WOTE ULIKOSEWA NA KILA SIKU WANARUDIA ..... BADO NAAMINI KUTIMULIWA KWA MAMA KILANGO NI ZAIDI YA UHAKIKI.
 
Ummy hana kosa acheni kujizungushazungusha kama hamuoni makosa...

PESA YA DAWA NA MAHITAJI MENGINEYO MUHIMU MKULU KAAGIZA IMENUNULIA NDEGE....BOLD AND CLEAR....KUCHAGUA NI

KUPANGA NA KUPANGA NI KUAMUA....sioni
kosa la ummy mwalimu wala ummy
mwanafunzi hapo.

Kosa la dummy sio dawa kukosekana?
Kosa la ummy ni kudanganya uma kuwa dawa zipo ilhali anajua. Dawa haxipo?

PIA KAMA MAMA KILANGO ALIKOSEA MBONA UHAKIKI WOTE ULIKOSEWA NA KILA SIKU WANARUDIA ..... BADO NAAMINI KUTIMULIWA KWA MAMA KILANGO NI ZAIDI YA UHAKIKI.

Kosa la
 
inategemea mtumbuaji nini anapendelea kusikia,hivi kwa akili yako mtu akikuambia wewe ni mungu wetu maana tunakutegemea kwa kila jambo na katika maamuzi yako yako yote anayoyafanya hayana makosa, inaitaji Ekima kugundua kwamba huyo mtu amekudhihaki kukufananisha na Mungu vinginevyo unaweza kujikuta unamuongezea cheo badala ya kumpuuza
 
Ummy hana kosa acheni kujizungushazungusha kama hamuoni makosa...

PESA YA DAWA NA MAHITAJI MENGINEYO MUHIMU MKULU KAAGIZA IMENUNULIA NDEGE....BOLD AND CLEAR....KUCHAGUA NI

KUPANGA NA KUPANGA NI KUAMUA....sioni

kosa la ummy mwalimu wala ummy
mwanafunzi hapo.

Umy kosa lake kuwatangazia uma Kuwait dawa

Zipo ilhali dawa hakunahakunaKAMA MAMA KILANGO ALIKOSEA MBONA UHAKIKI WOTE ULIKOSEWA NA KILA SIKU WANARUDIA ....

. BADO NAAMINI KUTIMULIWA KWA MAMA
KILANGO NI ZAIDI YA UHAKIKI.

Umy kadanganya uma atumbuliwe

Umy kosa
 
Nadhani kumtumbua Mama Ummy ni kumwonea bureee.

Fedha zimeelekezwa Idodomya,Ndege,kuhakiki vyeti,kuhakiki wafanyakazi hewa suala la dawa litakuja baadae kupanga ni kuchagua tumechagua kwanza hayo mengine baadae.
 
Jana gazeti la Jamuhuri imeripoti milioni 305 kutafanwa Jeshi la Polisi ambapo raia wasio askari walilipwa hela hizo kama askari kwa muda wa miezi 24 ila utashangaa hakuna anaeguswa.
 
Yule mnyongaji isanga akiisha tekeleza wajibu wake wa kunyonga hadi kuua kwa mujibu wa sheria, ili kutekeleza matakwa ya sheria hupandishwa kizimbani kujibu shitaka la kuua. Hukubali kosa na kujitetea kuwa alikuwa anatekeleza matakwa ya sheria na jaji humwachia huru.

UMMY ATIMULIWE KWENYE OFISI ZA UMMA.
Kama wanampenda wampe ubalozi, huku hatufai.

Back
Top Bottom