Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,035
Sasa ulitaka alie?...na yeye anachekacheka tu
Sasa ulitaka alie?...na yeye anachekacheka tu
Watanzania bwana hovyo sanaSasa ulitaka alie?
Wanabodi,
Preamble : Naunga mkono kwa asilimia 100% juhudi zinazofanywa na rais wetu mpendwa Mhe Dr John Pombe Joseph Magufuli katika kulinyoosha taifa hili ikiwemo tumbua tumbua ya majipu, ila siungi mkono tumbua tumbua hii ikifanywa kwa double standards, wengine wakifanya wanatumbuliwa na wengine wakifanya yale yale wao watakuwa spared! .
Tangu kuanza kwa zoezi la tumbua tumbua, huko nyuma niliisha wahi kuilalamikia double standards katika zoezi hili.
Leo nimekutana na bandiko hili humu jf ambalo halikudumu likidhania tumbua tumbua ni standard ukidanganya unatumbuliwa right away! .
Kila mtu na bahati yake au na bahati mbaya yake. Kufukuzwa kwa Mama Kilango ilikuwa ni bahati mbaya tuu lakini Ummy hawezi kufukuzwa kufuatia kama ungekijua kilichomfanya ateuliwe, utaelewa hawezi kufukuzwa hata aboronge vipi! . Hata ningekuwa mimi, siwezi kumfukuza. Kuna watu wanafukuzika na kuna wengine. ...Ummy ni mmoja wao!.
Lazima tufike mahali tuwe na uniform standards za hizi tumbua tumbua, you mess, you just go, wala usisubiri kumsumbua rais wetu kukutumbua! ,rais yuko bize na mambo muhimu zaidi kwa taifa hili na sio kuanza kuhangaika na individuals, baada ya ku set standards za ukweli kwenye serikali yake, that is the path to follow, you miss one step, you fall! .
Excuse kuwa alidanganywa doesn't hold water kwa sababu hata Kilango alidanganywa!, unless kwa sababu mwingine ni hivi na yule mwingine ni vile? .
Namalizia kwa kurudia swali
Could There Be A Double Standards Kwa Viongozi Wadanganyifu?!. Wengine Wanakuwa Fired na Wengine Wanakuwa Spared?!.
Pasco
AAtumbuliwe tu.She mislead the people and the president.
inawezekana akabebwa kwa ajili ya ukanda anaotokea, ila kwa mama ummy labda haamishwe wizara nyingne, huyu ni chaguo la mamaSasa hata huyo anayefikiriwa kum replace mbona naye ni walewale tu. Amewahi kudanganya vividly kwenye mdahalo kabla ya uchaguzi mkuu kwamba MHC hakuna wagonjwa wanaolala chini.
kwanini anadanya? aseme ukweli yeye amefight ameishia wapi?Ummy hana kosa acheni kujizungushazungusha kama hamuoni makosa...
PESA YA DAWA NA MAHITAJI MENGINEYO MUHIMU MKULU KAAGIZA IMENUNULIA NDEGE....BOLD AND CLEAR....KUCHAGUA NI KUPANGA NA KUPANGA NI KUAMUA....sioni kosa la ummy mwalimu wala ummy mwanafunzi hapo.
PIA KAMA MAMA KILANGO ALIKOSEA MBONA UHAKIKI WOTE ULIKOSEWA NA KILA SIKU WANARUDIA ..... BADO NAAMINI KUTIMULIWA KWA MAMA KILANGO NI ZAIDI YA UHAKIKI.
JF Ni Kubwa Kuliko Tanzania!Campign Manager wa Mama Makamu
Umenifuta Tongotongo za Ujinga!ukiangalia kwa mbali sana hasa kwa jicho la nne, kuna vitu vinaitaji utumie microscope ya ubongo ili uweze kuving'amua..
kilango alitumbuliwa kwa kuwa mamlaka za uteuzi zikimuhusisha katibu mkuu (Omben Sefue) zilikuwa upande wake wakat wa teuzi-inawezekana ukabila ulichukua nafasi wakat wa uteuzi wake
Ummy Mwalimu, hizi ni nifasi alizopewa makamu wa raisi,kujaziliza balaza la mawizili akiwemo Angela kairuki katika mgawanyo wa kujaza nafasi, hivyo hawezi kuchukua hatua moja kwa moja, labda kumuamisha wizara nyingine -haamin kwa wanawake kufanya nao kazi
ni sawa na kusema amtumbue Nape, Mwigulu, January au dkt husein mwiny, wakati hawa na baadh ya wengine ni mawazir wanaotoka kwenye msukumo wa chama chake ili wawe sehemu ya serikali (hawa wako nje ya uwezo wake ndio maana walipewa wizra zisizo na lawama)...
JPM anawaweza tu watu wake, wale wakina wazir Mwijage, DK Mpango, makonda na wengineo wengi hasa wale ambao sio wabunge lakn walipewa ubunge kwa kuteuliwa....
maana Rais anafalsafa kwann mbunge wa kuchaguliwa uwe tena wazir kwa malengo ya kubana matimiz, so wale wakuchaguliwa na pia ni mawaziri, wako nje ya uwezo wake
Ummy ni dizaini zile za akina Kibajaji, kinachowatofautisha ni shule tu. Ummy walau ana shule tofauti na kibaji, laiti kama kibajani angekuwa na shule ya kutosha leo angekuwa waziri kuanzia awamu ya JK ,mpaka awamu hii. Hawa ni wapiga domo wazuri sana kwa maslahi ya chama ila domo la kibajaji halina shule ya kumsogeza kwenye level zingine.inawezekana akabebwa kwa ajili ya ukanda anaotokea, ila kwa mama ummy labda haamishwe wizara nyingne, huyu ni chaguo la mama
nadhani aliyempa kazi ndiye anayetakiwa aondoke kwanza!Ummy Mwalimu anapaswa kufukuzwa mapema sana. haiwezekani hakuna madawa muhimu na yeye anachekacheka tu
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sanaYule mnyongaji isanga akiisha tekeleza wajibu wake wa kunyonga hadi kuua kwa mujibu wa sheria, ili kutekeleza matakwa ya sheria hupandishwa kizimbani kujibu shitaka la kuua. Hukubali kosa na kujitetea kuwa alikuwa anatekeleza matakwa ya sheria na jaji humwachia huru.
UMMY ATIMULIWE KWENYE OFISI ZA UMMA.
Kama wanampenda wampe ubalozi, huku hatufai.
We unachuki binafsi na Ummy? Kadanganya nini? Yeye kaeleza ukweli dawa zimekuja na zinagawiwa ila kunaupungufu wa chanjo. Mwingine kasema kuna upungufu wa dawa akimaanisha chanjo nazo ni dawaWanabodi,
Preamble : Naunga mkono kwa asilimia 100% juhudi zinazofanywa na rais wetu mpendwa Mhe Dr John Pombe Joseph Magufuli katika kulinyoosha taifa hili ikiwemo tumbua tumbua ya majipu, ila siungi mkono tumbua tumbua hii ikifanywa kwa double standards, wengine wakifanya wanatumbuliwa na wengine wakifanya yale yale wao watakuwa spared! .
Tangu kuanza kwa zoezi la tumbua tumbua, huko nyuma niliisha wahi kuilalamikia double standards katika zoezi hili.
Leo nimekutana na bandiko hili humu jf ambalo halikudumu likidhania tumbua tumbua ni standard ukidanganya unatumbuliwa right away! .
Kila mtu na bahati yake au na bahati mbaya yake. Kufukuzwa kwa Mama Kilango ilikuwa ni bahati mbaya tuu lakini Ummy hawezi kufukuzwa kufuatia kama ungekijua kilichomfanya ateuliwe, utaelewa hawezi kufukuzwa hata aboronge vipi! . Hata ningekuwa mimi, siwezi kumfukuza. Kuna watu wanafukuzika na kuna wengine. ...Ummy ni mmoja wao!.
Lazima tufike mahali tuwe na uniform standards za hizi tumbua tumbua, you mess, you just go, wala usisubiri kumsumbua rais wetu kukutumbua! ,rais yuko bize na mambo muhimu zaidi kwa taifa hili na sio kuanza kuhangaika na individuals, baada ya ku set standards za ukweli kwenye serikali yake, that is the path to follow, you miss one step, you fall! .
Excuse kuwa alidanganywa doesn't hold water kwa sababu hata Kilango alidanganywa!, unless kwa sababu mwingine ni hivi na yule mwingine ni vile? .
Namalizia kwa kurudia swali
Could There Be A Double Standards Kwa Viongozi Wadanganyifu?!. Wengine Wanakuwa Fired na Wengine Wanakuwa Spared?!.
Pasco
Umbeya hausadii tunajua mnaomtaka Ummy atumbuliwe ndio mnachochea madaktari wagome kwa kutoridhika kwenu na vyeo. Ummy katumia busara huwezi ropoka hakuna dawa ili watu wapaniki au? Wakati dawa zimeshafika na zinagawiwaCampign Manager wa Mama Makamu
Hata mimi nilikua sijajua concept hiyo aliyotufafanulia mdau. Ina 90% probabilty kuwa ni sahihi.Umenifuta Tongotongo za Ujinga!