Could Cheney-Limbaugh keep America safe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Could Cheney-Limbaugh keep America safe?

Discussion in 'International Forum' started by Binti Maringo, May 27, 2009.

 1. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  North Korea’s recent decision to detonate an underground Nuclear Bomb & also test a short Range missile leaves Washington with only one question: WWDCD?
  Recently DC (Dick Cheney) ndiyo I guess amekuwa face or spokesperson of Republican Party,yaani he has gone on Tv by Tv station not only to denounce the BO (Barack Obama) administration for making America less safe but also to mock moderate republican like Colin Powell….ooh well (Alikwina)…alikuwa wapi all that time alipokuwa yeye VO mbona tulikuwa hata hatumsikii?...now anakuja all greasing up on The BO Admin…him and his fellow friend RL (Rush Limburg) and then DC calls RL the “FACE OF NATION”….Please!....i think they are all sick in head…(Brain damage they need to consult a dr)….RL and DCD hawa watu wanapiga domo this time tomake Obama look but and they are instention ni kutafuta ticket ya ku-run for president 2012…..and I doubt if they will even make it….
  I mean what will dick cheney do different from what he did from Bush administration?...i think Republican ni cause ya economy kuwa katika this mess..and now cheney anaona matatizo tunatopata wananchi hayatoshi he want to destroy more….
  Do you all think with this mess that Rush and Limbaugh wanayo create could keep The whole world safe?.....

  NN is republic and Rush Limbaugh fun i knwo you will tetea this though unajua he is making a big mistake....he is so violent
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  May 27, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Wow! Sijui hata nianzie wapi kuzibomoa hoja zako zilizo dhaifu kuliko hata mtoto mwenye kwashakoo!!

  Kwa kifupi, yanayotokea sasa ni mambo ya mpito ktk siasa. Usikae ukabweteka na kudhani Democraps watatawala milele Marekani. Siasa za Marekani haziendi hivyo.

  Kwenye miaka ya themanini Democraps walikuwa ktk hali waliyonayo Republicans sasa. Reagan alishinda kwa vishindo chaguzi zote mbili. Re-election akashinda majimbo 49 kati ya 50!! Sasa niambie Democraps walikuwa na matumaini gani baada ya kushindwa vibaya namna hiyo? Uchaguzi wa '88 Democraps wakashindwa vibaya tena. G.H.W. Bush alishinda majimbo 40 kati ya 50. A landslide! Kwa watu wenye roho nyepesi nyepesi wangekata tamaa kabisa.

  Mwaka 92 waka bounce back kwa bahati..wamshukuru Ross Perot. 1996 wakashinda bila utatanishi. Mwaka 2000, licha ya uchumi kuwa mzuri, Al Gore akashindwa kushinda hata nyumbani kwao. What a shame. 2004 wakashindwa fair and square. Baadhi ya watu wakasema basi tena, Democraps are done.

  2008 hao, wamerudi tena. Kilichopelekea kuchaguliwa kwa O'Bummer ni mambo mengi yakiwemo uchumi mbaya, rangi yake (yes, kwani wazungu walitaka wa make statement kwamba kwao rangi ya mtu haina umuhimu ans they did it).

  Sasa jidanganyeni eti nyinyi Democraps ndio mna majibu ya kila kitu na ninadhani mmeyatafsiri vibaya matokeo ya uchaguzi. Mnadhani you are in power to stay. Go on ahead and think that coz only a semi retarded person would think that. It's not the end of the GOP and they will be back on top. Mark my words.
   
 3. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ?!:confused:
   
 4. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hata kama una hoja ya nguvu dont ita hoja yangu dhahifu...i am tying put my 2 cents from what i see (future and present)...

  alafu na wala sijasema kuwa Democrat wataongoza milele my point is where was dick cheney?....na anakuja sasa hivi na tantara zake plus Rush Limbaguh the thing waanvyofanya wao ni kujaribu kum-destroy Obama...let the guy do what he has to do so far i dont think kama ameshaharibu yet...he is doing great!....

  kuhusu huko nyuma who did what..nadhani its not fair kurudi ila tunachotakiwa for now ni kusonga mbele.....tatizo nyie republican mnajua mmeshashiba so you do see matatizo tunayopata siye wengine ndiyo maana whatever democrat wanachofanya you tend to underestimate them.....

  ila i would prefer present argument na siyo za mwaka 1950...huko tumeshapita cuppy!...stay put with 21 centuary,,,
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  May 27, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Obama kukosolewa ni fair game. Halafu ni upofu wa kiakili na ufupi wa kimawazo kulalamika pale tu Obama anapokosolewa unless kama pia ulilalamika pale G.W. Bush alivyokuwa akikosolewa na kuitwa kila aina ya majina. Kaitwa mbumbumbu, kaitwa Nazi, kuna watu walishasema 'assassinate Bush and Cheney' na mengineyo. Yaani the moment Bush was sworn in watu wakaanza kumkosoa. That's just how politics is.

  Kuhusu Dick Cheney..so what? He is entitled to his opinions. Mbona Al Gore na Clinton walikuwa wana m-rip Bush kila mara. Ulikuwa wapi kulalamika? Au kwa vile una mapenzi na Obama basi yeye anakuwa ni criticism proof na huwezi kuvumilia anapokosolewa? Haileti mantiki kabisa.

  Kuna ma liberal commentator kibao tu ambao walikuwa wakimkosoa Bush. Ulikuwa wapi kuwahoji? Au kwa vile walikuwa wakimkosoa Bush na wewe ulikuwa ukichekelea? Come on now...you can come better than that...
   
 6. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Issue ya Korea ni kubwa kuliko wengi wetu tunavyoifikiria. Bush na mikwara yake alichemsha kwa hawa watu Obama naye atachemsha, kwa kifupi wakorea wanakiburi na wanabadirisha mawazo kila wanapojisikia.
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  May 27, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Shhhhhh...Obama hawezi kuchemsha bana...Kelly akikusikia atasema humtakii mema
   
 8. K

  Koba JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  ...holy crap,just eat **** and die!
   
  Last edited by a moderator: May 28, 2009
 9. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Dada umeteleza kidogo, au sana; hakuna anaetegemea Dick Cheney agombee urais. Ni kituko! Alishajichafulia rekodi, ndo maana hata hakufikiria kugombea baada ya Bush.

  Cheney anafanya hivyo sababu ya 1) kukarabati legacy ya Bush-Cheney admin 2) Fend off possible suits for authorizing torture 3) Ilikuwa aibu Rush kujaza utupu wa uongozi GOP
   
 10. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Uwiano,
  Vacuum of leadership ni ombwe la uongozi. That's what the Republicans are suffering from now.
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  May 27, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Haya mambo ni ya mpito tu. GOP will be back on top not too far from now. They just lost their equilibrium slightly but they'll bounce back coz I know O'Bummer will fcuk things up big time.
   
Loading...