mansoorsaid
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 1,498
- 286
Nimepata habari zilizo na uhakika kuwa mfadhiri wa hiyo timu amepanga kugawa pointi 6 kwa Azam na 6 kwa Simba eti kumkwamisha Yanga katika harakati kuwania ubingwa.
Kwa mpango huo ndio mwaka jana mfadhili mmoja aling'atuka.
Ushauri kwa wachezaji Star wa hiyo timu ni bora kutocheza kabisa maana kutasababisha heshima yenu ishuke kimpira.
Tunaanza kuona Jumapili.
Kwa mpango huo ndio mwaka jana mfadhili mmoja aling'atuka.
Ushauri kwa wachezaji Star wa hiyo timu ni bora kutocheza kabisa maana kutasababisha heshima yenu ishuke kimpira.
Tunaanza kuona Jumapili.