Cost engineering

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Wadau,hapa kwetu tanzania kuna chuo kinachotoa degree ya hyo fani?
 
Hiyo ipo ardhi university course ambayo inaitwa building economy,inadeal na kuangalia pia kuzichambua gharama za ujenzi.
 
Hiyo ipo ardhi university course ambayo inaitwa building economy,inadeal na kuangalia pia kuzichambua gharama za ujenzi.

samahan mkuu,mbona kuna m2 wa ardhi unv nimemulza akanambia zna tofaut,au?
 
JF kuna mambo Cost Engineering = Building economy khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
JF kuna mambo Cost Engineering = Building economy khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee

kama unajua toa mawazo yako mkuu,hapa sio pa kuchekana ni pa kuelimishana.
 
kusema kweli course inayoitwa ''cost engineering'' mimi sijawahi kuisikia, ila nimesoma ardhi na hiyo ''b.sc in building economics'' 4 sure ipo,, kwa kiswahili wanaitwa wakadiri majenzi,wanadeal na kutafuta quantities na cost ya nyumba b4 the actual construction, sasa sijui kama ndo hiyo mdau aliyetaka msaada alikua anaiuliizia?
 
Mkuu hiyo degree hapa hakuna.Ila najua kuna Building Economics( zamani iliiitwa quantity surveying) hawa specificically wanajishughulisha na ukadiriaji wa gharama za ujenzi kwa hiyo ni watu wanofanya kazi bega kwa bega na watu wengine wa construction industry e.g Civil engineers,Architects ......
 
Back
Top Bottom