Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,212
- 6,972
Ukisema mko na uwezo wa kununua ndege za kivita. Ukumbuke bajeti ya Kenya ni mara dufu ya Tanzania, kwahivyo pia sisi tunao uwezo lakini kama ulivyosema, ni priority ndo hakuna maana hakuna tishio lolote kubwa ukanda huu kwahivyo hakuna haja ya kununua vifaa vikubwa vikubwa ilhali watu ndani ya nchi wanashida tele, kwahivyo afadhali kutumia hela hizo kuboresha maisha ya watu kwa sasa kuliko kununua makombora makubwa ambayo haya saidii kitu kwa saasa.Ka African..uwezo wa kununua ndege na helicopter za kivita upo...kama tumetumia zaidi ya $300mil kununua q400s 5 ndani ya miaka mitano $500mil kununua dreamliner mbili na $200mil kununua A220s mbili..hivi vi sukhoi S30 vya dola $30mil unahisi vinatushinda...
Tukiamua kuweka budget ya dola $300mil in 5yrs tutakuwa na Su-8mpka 10 ambayo ni upgrade ya kutosha. sana na tutapita nchi nying tu..lakini sio priority ya sasa cause ndege za kivita zinahitaji maintance na pia ni liabilities sio asset kama passenger planes au other business
Tuna project nying ambazo goverment ime inject hela yake kama SGR,Stiglers, Kujenga Zonal hospitals na ku imrpove transport in Big cities