ni bora uendelee kupost gari moshi zenu kuliko kuzungumzia vitu usivyovijua mambo ya kijeshi hauyawezi mzee ojwani achana nayo
hebu jibu maswali hayo,kisha ndiyo uje na hoja zako za utumbo zakufikirika ,kutafuta link ruksa angaika kote kisha zicopy na upaste kama kawaida yakp jinsi ilivyo




1.Je ulishawahi kutembelea military base zilizopo tanzania na ukahesabu idadi ya vyombo au vifaa vyote vya kivita. vilivyopo..?..kama ni ndiyo je kwa ujumla vipo vingapi....?
2.Jeshi la Tanzania linamiliki ndege na helicopter ngapi..,?..,je ni aina gani za ndege na helicopter zinazomilikiwa na tanzania....?..je gharama zake kwa kila kimoja ni kiasi gani,,..? ndege zilinunuliwa mwaka gani,saa ngapi,na ilikuwa ni siku gani...pia zilichukua mda gani mpaka kukamilisha matengenezo na kufika tanzania...?
3.Jeshi la tanzania linamiliki vifaru na magari mangapi ya kijeshi..?...je ni brand gani ya magari yanayotumiwa na jeshi la tanzania na yametoka ama yamenunuliwa kiwanda gani na yalinunuliwa mwaka gani....?...
4.Jeshi la Tanzania linamiliki silaha ngapi za kivita..?..kisha nitajie aina ya silaha zinazomilikiwa na jeshi la tanzania na zilinunuliwa wapi mwaka gani saa ngapi mwezi gani...?...
,,,,,,,,,KARIBU SANA MZEE OJWANI UJIBU KWA EVIDENCE......