Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Jamaa anabisha, nilimuambia hata SGR station Dar hamna kama hilo the whole of Kunyaland kabisha!

2410938_7796AD80-7EF4-4B83-A67A-2D701BB396F9.jpeg
The Lost Might Tanzanite finally found in Dar."The statement" speaks to itself,"The Signature".Loading.........
 
Uyu Archtect shikamoo, this idea of using the shape of minerals is genius, this is not only going to be found in Kenya but also in all other nations in Africa and maybe in the world
Sana ndugu yangu.Hapo katikati nilianza kupata wasiwasi ila sasa naona kitu kinakuja chenyewe mdogo mdogo.
 
Waturuki walisema mwanzo, tunaenda kutoa vitu vya mfano Africa kupitia hapa Tanzania.

Tumshukuru Mungu kwa kumpata JPM kipindi hichi, otherwse tungekuwa kwenye maombolezo kama wakenya, yaan SGR yao bado mpya watu washagomea na ukizingatia ilijengwa kwa inflated rates ina maana inabidi watafute pesa sehmu nyingne ili wawe wanalipa deni hilo ina maana kutakuwa hakuna maendeleo mpka Madeni yapungue ukiacha ayo maprivate sectors wanaojenga majengo ambayo wananchi wachini hawawezi kumudu. Officially Kenya is failed state
 
Sana ndugu yangu.Hapo katikati nilianza kupata wasiwasi ila sasa naona kitu kinakuja chenyewe mdogo mdogo.
Heheheheheeee mzungu aseme tutajenga tanzanite hapa af icwe hvyo, nani kasema, nilikuwa nawaangalia tu Wakenya wakisema haifanani na render nkawa nasema kimoyomoyo kwamba watatii tu ngoja ifike ukingoni
 
Kafrican see what CCECC did to Kenya,

They built ur SGR that cargo trains move at 80 km/h and dumped it at Naivasha then they crossed over the border and started a $300 mln WB financed TIRP project for rehabilitation of Tanzania's Railways' MGR that is continous welded and with a speed of 70 km/h!

oMM35lK.jpg

83PSgDR.jpg

bW187M7.jpg

S8Gq0JN.jpg

See the Chinese r not bad at all, they simply deliver on what a client specifically wants, so plse don't kill the messenger! if u play corrupt with them, they r readly willing to dance with ur corrupt request too ! :D:D:D

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican,Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11

HAhaha, reli ambayo maximum tonnage haifiki hata 2 Million tonnes p.a! wacha kujiliwaza geza
 
That Dar SGR station building is about 13 000 sq m (watch the clip at 1.35 min) while Nairobi terminus is

The SGR Nairobi Terminal is a 15 000 sqm train terminal/station that forms one of two key stations (out of a total of eight) that make up the recently completed Mombasa-Nairobi Standard Gauge Railway Line.

Inside Kenya's Railway Stations: The SGR Nairobi Terminal

View attachment 1461664

View attachment 1461667

Aside the fact in Dar there are 2 stations Soga and Dar city center Station! An office block of at least 8 floors plus a plan for expansion of Pugu station to interlink with commuter trains is to be built too!

maxresdefault.jpg

View attachment 1461666

So u can't really call it that small!

Hebu angalia haka kajengo!

Matofali tu alafu hapo nje unajaza vioo unadanganya Taifa zima ati never seen before in AFrica 😂😂😂

2411020_Screenshot_2020-05-28_17.00.55.png
 
Hebu angalia haka kajengo!

Matofali tu alafu hapo nje unajaza vioo unadanganya Taifa zima ati never seen before in AFrica 😂😂😂

2411020_Screenshot_2020-05-28_17.00.55.png
wapi lenu lenye glass and steel! Wacha ufala main structure ya jengo lolote lazma liwe na pillars za concrete! I repeat Kunyaland nzima haina jengo kama hili!
 
Hebu angalia haka kajengo!

Matofali tu alafu hapo nje unajaza vioo unadanganya Taifa zima ati never seen before in AFrica 😂😂😂

2411020_Screenshot_2020-05-28_17.00.55.png
BTW i was comparing ur Nairobi terminus to Dar bus terminal but i have realized Dar Bus terminal will have no comparison in the EA!

Now Nairobi Terminus is equivalent to Mwanza bus stand!
 
Heheheheheeee mzungu aseme tutajenga tanzanite hapa af icwe hvyo, nani kasema, nilikuwa nawaangalia tu Wakenya wakisema haifanani na render nkawa nasema kimoyomoyo kwamba watatii tu ngoja ifike ukingoni
Stesheni zile zilizokua zishamalizwa, akina ruvu na sijui soga ndo tulisema zilikua hazifanani na render manake kwa render tulionyeshwa kitu smart alafu reality kumbe ilikua ni ka kiosk ka mabati alafu hapo nje wanaongezea cladding ya kuficha 😇
 
Tumia akili ndo maana mmejenga SGR halafu inagomewa kutumiwa Pugu Soga, Ruvu na Ngerengere ni sehemu zenye wakazi chini ya 20,000! Sasa tujenge SGR station kubwa ya nini? Si bora kununua more rolling stocks ama gharama yake kutumika kujenga the remaining phases instead of big white elephant buildings like Suswa!

So tell me aside size, what's missing when Pugu Soga, Ruvu na Ngerengere stations r compared to ur stations?

EX9vJ5bWoAEqBVo

EX9vKNHXQAE3QJL

EX9vKcIWkAEVAU-
 
Back
Top Bottom