The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 37,867
- 82,505
Zile stesheni zimeakisi mTz halisi, and talking of capacity ni kwasababu ya low popln of an area, huwez jenga mastesheni makubwa porini unawajengea animals au? Na pale ndipo u smart wa Magu unapoonekana, hz mambo even u kunyans know about ila mnajifanya wehu tu humu.Stesheni zile zilizokua zishamalizwa, akina ruvu na sijui soga ndo tulisema zilikua hazifanani na render manake kwa render tulionyeshwa kitu smart alafu reality kumbe ilikua ni ka kiosk ka mabati alafu hapo nje wanaongezea cladding ya kuficha