The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Ss we jamaa kiongozi manaake nn, uwe na uwezo wa kuwa feed unaowaongoza au unataka uongozi wa kwny makaratasi tu bila reality?kawaida yenu mkishikwa nyeti. mwenzako Tanzanature kaingia mitini post yake kamgeuka, sasa ni jukumu lako kupindisha...



anaenda kuamishia shughuli zake TZ kwnye suala la Bandari, kwa huu mzozo ndo kabisa hata SGR hafikilii tena kuunganisha na hyo north corridor..in short hyo SGR ya north corridor ishakuwa white elephant