Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Benki ya commecial inajua its dealing with a government, loss au profit a government has an international obligation to pay its loans first out of revenue collection and if not to refinance it with another loan, go read about what happened to Greece, sasa wamepewa loan zingine kulipa zile walishindwa. Unajaribu kulinganisha vile benki hupeana mkopo kwa wananchi na vile hupeana kwa serikali, lakini kuna tofauti kubwa. Mwananchi anaeza defaut na hakuna mahali utampeleka baada ya kuuza vitu vyake. Serikali, benki inachukua TRA collection by force, au wanashikilia ndege zenu zikiwa nchi zingine , au sanctions...
Benki haezi kataa kupea Tanzania loan, lazima mlipe even if the railway isn't moving.
Wewe hujui miiko ya ukopeshaji! kama ingekua hivyo banks zingekua zinakopesha nchi tu. Taratibu za ki benki hazipo hivyo kama unavyo hisi. Lazima mradi upelekwe na andiko lake ukiainisha jinsi utakavyo leta faida. Hii ni kwa nchi au private entity, Banks kama WB wao wataishia kuangalia impact kwenye jamii ila commercial banks zita angalia numbers kama zitakua positive. Wewe kaa ukijua CAMPARI kwa ujumla wake ilifuatiliwa kabla ya Tz SGR haijapewa loan. Nenda kampe ushauri wako Uhuru maana ana haha kupata loan au exim China hawana mbinu zako za kuchukua ndege na kuiminya KRA!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dear ikinyesha mji mzma unazama ndani ya maji !!! Year, we surely have something to learn

images

Something I never comprehend is that, Dar despite her poorly planned infrastructure, it is located in downstream, a flood basin,
But Nairobi is upstream, mji uko mlimani na bado ikinyesha mvua tu kila kitu husimama,
 
Mombasa is also located downstream!!!!!!!!

Nairobi is a concrete jungle with physical man made obstructions everywhere do natural geography and physics dont apply (thats why you have seen malls/banks/buildings bieng demolished recently in places where water is supposed to flow.... ,In any case, when there are floods inNairobi, the next day the water would have dissapeared, but in Dar the flodded water can last for days and sometimes even weeks, to a point where peapole end up using boats!!!!
 
Fiber optic for Traffic control and communication - Nrb-Naivasha section

22aMpwQ.jpg

5V8XWGx.jpg

C0DsQZC.jpg
Outdated traffic control system! Leta control counter tuone!

SGR Tanzania will have

FRAUSCHER ADVANCED COUNTER FAdC

The greatest flexibility
Functional modularity, flexible scalability and an Ethernet-based software interface permit a wide range of configurations. The savings on space, energy and investment costs increase with project scale thanks to state-of-the-art communications technologies.

For example, the operation of small, centralised systems is just as possible as the implementation of complex systems.

Optimum integration
Connection to a high-performance electronic interlocking is possible both via a customer-specific interface and the Frauscher protocol FSE. In this way, higher-level applications can be provided with all the functional and diagnostic information required.

In addition, clusters that are spread along the track can also be connected via the Ethernet to form a decentralised architecture.

Frauscher Advanced Counter FAdC | Frauscher Sensor Technology

Hahaha tatizo lenu nyinyi ndio hua munajifanya munaendelea sna😝😝😝😝
Weja aerial photos za hiyo imaginary SGR yenu tafadhali. Afu ni vipi umetumiss hivi Baada ya kuwatandika kama simba ilivyotandikwa na Al ahly kwenye ule uzi wa Mombasa kuichapa Dar? Sasa umekyja hapa tena kuchapwa na SGR Kenya...kwani unapenda kuchapwa aje?
 
wacha kutafuta la kujistiri mahali ambapo hautapata !
Tangu limited fibre optic Ikawa outdated technology! Fiber optic is a communication medium, and its the most reliable medium of all mediums..... Alafu wewe unaniletea taarifa inayoongelea sensors na frauscher technology..... Unajua hio taarifa imesema mnatumia medium gani?..... Quote : "Ethernet-based software interface permit a wide range of configurations. :"

Ethernet cables hua zinatengenezwa na copper!!!!!!!!! Tukianza kutaja disadvantages za copper cable na fiber optic cable utaanza kulia ukiomba tuachie hapo
 
Naona SGR tanzania inakunyima usingizi😆😆😆😆😆😆
 
Mkuu,

SGR zote mbili (yaani ya ngo'mbe huko kaskazini na ya kati huku kwetu) zinatumia Fiber Optic cables kwa ajili ya Ethernet-based backhaul communication link to the core network/main control centre, wakati kwenye fronthaul communication links kati ya trackside sensors na radio block centre (RBC) zinatumia a variety of wireless technologies e.g., GSM-R etc, nimeona SGR ya ng'ombe mmesha-install Huawei basestations....

Cha msingi kwenye mada hii ni standards gani za Railway Traffic Management System (RTMS) zinazotumiwa katika hizi SGR mbili.

Hii ya huku kwetu tunaweka European Train Control System version level 2 (ETCS-2) hii ni among the latest RTMSes.

Jee huko kaskazini mnaweka standard gani?

Natoa senti zangu 2.
 
As long as there is one or two blocked drainage in any city - expect flooding.
Something I never comprehend is that, Dar despite her poorly planned infrastructure, it is located in downstream, a flood basin,
But Nairobi is upstream, mji uko mlimani na bado ikinyesha mvua tu kila kitu husimama,
 
Mkuu,

SGR zote mbili (yaani ya ngo'mbe huko kaskazini na ya kati huku kwetu) zinatumia Fiber Optic cables kwa ajili ya Ethernet-based backhaul communication link to the core network/main control centre, wakati kwenye fronthaul communication links kati ya trackside sensors na radio block centre (RBC) zinatumia a variety of wireless technologies e.g., GSM-R etc, nimeona SGR ya ng'ombe mmesha-install Huawei basestations....

Cha msingi kwenye mada hii ni standards gani za Railway Traffic Management System (RTMS) zinazotumiwa katika hizi SGR mbili.

Hii ya huku kwetu tunaweka European Train Control System version level 2 (ETCS-2) hii ni among the latest RTMSes.

Jee huko kaskazini mnaweka standard gani?

Natoa senti zangu 2.
You're very useless Bantu Gumboro.
 
Ungekua ulianza na kumueleza huyo mwenzako manake huwa kila siku haelewi tofauti ... Eti fiber cable ni outdated technology! Naelewa bado technolojia ya fibre haijafikia kua compatible na interface za access layer / end devices na hata Kwa distribution network zengine.. kwahivyo inevitably lazima utahitaji ethernet cables Ku interface na endpoint devices....

Technolojia za traffic control ziko nyingi zana hata hio ya European standards unayosema ni latest, bado kuna ETCS3 na ETCS4 ambazo ni more advanced, tofauti hua ni matumizi ya reli ndo yanaongoza muelekeo wa technolojia itakayotumika ...
Lakini Lazima uwe unaelewa kwamba tofauti ya Kati ya hizo technojia za traffic control ni Software package Tu! Yani zinatumia algorithms zilizo andikwa na watu tofauti, lakini ikija Kwa sensors zinazotumika haijalishi ni sensors za Aina gani Bora ziwe zina send back the right signals back to the core software for processing.... Hata Germany wanatumia sensor na hardware ya Huawei Ku operate system Yao ya ETCS....

Haiwezi kua ndani ya Kenya SGR wameweka fibre kila Kwa sensors na GSM-R base station after every 15km inayotuma signals to the locomotive na kule Nairobi wako na Traffic control center alafu baada ya hayo yote watumie software algorithms ambazo hazileti optimal utilisation of the rail track... Lazima like walicholeta is the perfect scalable modules solution to our problems kwasababu pia ndani ya hiyo EISA report short and medium term goal ni Ku operate up to 50 cargo trains a day, while long term after 2033 their will be up to 100 cargo trains per day Kwa hivyo hio traffic control solutions lazima Ike inaweza Ku handle hio expansion.. Kwenye hio EISA report ya SGR Kenya wameita CTS 'Cetralized Traffic Control System" nitajaribu kuileta hiyo ripoti nikiwa Kwa computer, Kwa sasa ntakuachia hii ya Huawei ambao ndo wanaprovide backbone ya communication infrastructure

Huawei Digital Railway Solution Supports New Mombasa-Nairobi Railway - Huawei Press Center
 
Between the two which one is better than the other?
 
I can't tell you that with certainty.... But I can tell you for a fact China has more rail network than the whole of Europe combined.... More people travel by rail in China than in Europe and Chinese train are more punctual than European trains with the exception of Scandinavian countries like Netherlands,swizaland etc .... Of course Japanese trains are the most punctual in the world (on avg) and they use a completely different model than what is currently used in Europe....

I would say the best system is the one that results in optimal performance of a rail track... if I remember correctly our rail track can only reach about 40% of its capacity as is currently constituted... Both Tz and Ke will use less than 100 trains on their respective rails, I can bet you even the old traffic technology (when steam engines were usedd) of using hand signals to direct trains to different tracks and writing daily train schedules on a piece of paper would work fine and there will be no collisions or delays at all... I mean Even a trained 15 year old will be able to come up with a daily schedule for less than 50 trains and be able to account for everything .. on the other hand Acountry like Germany has more than 15,000 daily trains on 41,000km of track, you can't even begin to comprehend that on your imagination ...
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom