Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,641
- 107,075
- Thread starter
- #21,281
😁😁Kipande cha mwanza tu kime washinda
Kwani Uganda kuna Sgr?Ni Mganda hivyokusema hayo ni haki yake ya kimsingi sana.
Hizi ndio treni zao! Kuna utofauti mkubwa sana kati ya Nginjanginja la Kenya na Uganda.
View attachment 3638921