Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,026
- 107,522
- Thread starter
- #21,301
😁😁Aisee TRC hii ni aibu kwa camera kutofanya kazi kwenye mabehewa
Mkuu,,, we acha tu... 😅Mwaka 2024 nilikwenda Mwanza nikakuta mradi wa SGR umesimama majuzi nimerudi tena Mwanza mradi uko vile vile
RIP JPM
Wabongo hatuna mandonga namna hiyo!