Mara nyingi derailment na mara nyingi inatokea kwa sababu ya uzembe.Joka limeliwa shaba 🤣
View attachment 3492272
Joka limeliwa shaba 🤣
View attachment 3492272
Watu walishapiga hela kitambo kaka wakaleta treni la mtumba. Tulishawai sema hapa "ni swala la muda tu" 🤣Mara nyingi derailment na mara nyingi inatokea kwa sababu ya uzembe.
Hapo lazima Kuna uzembe ulifanyika na baadhi ya watu.
Imagine hio TREN ni $20 million.
Kwani ulikua hujui?Duu kumbe ni mtumba😂😂.
Kadogosa na kasimu wa chapwe viboko hadharani majizi haya
Raisi yupi huyo?Sasa Raisi amefeli Form 4 unatarajia maajabu gani?
Au sio??Moto huanza kwa cheche...
🤣🤣Watu waliwaheshimu na wao wakachukulia hiyo heshima kama ni woga. Kiko wapi sasa 😂😂