Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,900
- 103,770
utasubiri sana 😁😁Hivi yale mabehewa mtumba ya ghorofa yalliyonunuliwa kutoka ujeremani yaliishatumika kokote au yanasubiri ujenzi ukamilike huko kwenye lot 4-5 kusiko na magandaki? 🤔🧐
kiongozi, kwa nini nisubiri sana kama majibu yapo ? 😲utasubiri sana 😁😁
kwa kifupi, sahau tu 😁😁kiongozi, kwa nini nisubiri sana kama majibu yapo ? 😲
Okkwa kifupi, sahau tu 😁😁