Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,849
- 103,705
- Thread starter
- #20,121
🤣🤣Hii ilitakiwa itokee wakati namba 1 yumo ndani
Ova
How much is one chapati?
Notice kuna mizigo ya tanzania inapita mombasa lakini hakuna mizigo ya kenya inapita dareslam 🤣🤣🤣Bado tunaendelea kuwaburuza tu
View attachment 3387423
Sasa nyang'au wanaanza kusema wamepata wateja wa kimataifa ha ha ha. Chezea Azam marine weye😁😂
ila hii ni aibu Bakhresa hashindwi ku-team up na Songoro marine akajenga hii facility Zanzibar/ Tanga/ Dar/ Mtwara! Especially uchumi wa gesi ya unavyokuja kupitia ujenzi wa LNG Lindi!Sasa nyang'au wanaanza kusema wamepata wateja wa kimataifa
Sasa nyang'au wanaanza kusema wamepata wateja wa kimataifa
Aibu gani?ila hii ni aibu Bakhresa hashindwi ku-team up na Songoro marine akajenga hii facility Zanzibar/ Tanga/ Dar/ Mtwara!
Hii biashara inapaswa kuingiza mapato TRA na si KRA! Ukizingatia sisi ndio wamiliki wakubwa wa marine vessels EA! Tunahitaji modern maintenance hangars na slipways at the coast especially tunapoenda uchumi wa EACOP!Aibu gani?
Kabehewa kenyewe kamoja tu. Mwendo wa kupozi😎Boss moves...
View attachment 3392556
sasa unalizwa na nn?Kabehewa kenyewe kamoja tu. Mwendo wa kupozi😎
Hakuna kitu😁sasa unalizwa na nn?