Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,291
- 3,647
hilo haliwezekani.TRC tunaomba huduma ya WiFi kwenye treni.
hilo haliwezekani.TRC tunaomba huduma ya WiFi kwenye treni.
Makosa madogo madogo hayo. Haya sasa nenda kapozi kwenye kale kabehewa kama Atwoli aka 'shenzi sana alaa'😂hadi unaandika kigugumizi
Kwa nini haiwezekani? Ikuwa baadhi ya mabasi tu yana hiyo hudumahilo haliwezekani.
Hamna cha toto wala kubwa😁danganya toto
kapigwa na kitu kizito chenye ncha kali kichwani. Alikuwa anasema reli yetu ni ya abiria tuu 🤣🤣🤣Siku hizi kamanda Lewis254 amekuwa kimya sana sijui kwa nini?😂
Hii na kugawa chapati ipi bora 😁
Shipyards zetu ziko busy sana building new ships hence, slots za simple maintenance ni chache na lead times ni ndefu.ila hii ni aibu Bakhresa hashindwi ku-team up na Songoro marine akajenga hii facility Zanzibar/ Tanga/ Dar/ Mtwara! Especially uchumi wa gesi ya unavyokuja kupitia ujenzi wa LNG Lindi!
Atakaa hapo mpaka matako yaume 🤣🤣🤣Boss moves...
View attachment 3392556