Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,845
- 103,705
- Thread starter
- #20,081
muulize Kadogosa!Hizo za Ghorofa mbona sizioni kwenye clip?
It was a genuine question na kwa nia njema kabisa. Ningependa sana uwepo wake na nilivyoona nikajua zimewasili.muulize Kadogosa!
utangoja sana ww.It was a genuine question na kwa nia njema kabisa. Ningependa sana uwepo wake na nilivyoona nikajua zimewasili.
Mwenye YouTube channel ameweka tu kuvutia watazamaji na sio official channel ya TRC.Hizo za Ghorofa mbona sizioni kwenye clip?