Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,842
- 103,700
- Thread starter
- #20,101
Both EABL n Safaricom r foreign companies!
Both EABL n Safaricom r foreign companies!
Sijakuelewa naza? 🤭Hapa naza house 🏠 alikuwa anatuma ujumbe kwa jirani kiaina
View attachment 3386208
Unapozi kwenye lile behewa na huyo wife wako sio?😁punguza kuniwaza sana. niko na wife
Unapozi kwenye lile behewa na huyo wife wako sio?😁
Ndio kazi iliyobaki kamanda. Ukitoka hapo unaenda kutafuta picha za kupozi kwenye lile behewa, ha ha ha😁😂![]()
243K views · 10K reactions | Tutaona mengi hii dunia! #Masta | Clemmo254
Tutaona mengi hii dunia! #Mastawww.facebook.com
🤣Huyu mwamba tangu apate kitambi na makalio makubwa, sasa, hv anatapika na kutoa uharo tu unaokuja kichwani, mwake
Sisi, tuwe na SGR, Bora kuliko za, ulaya!
CCM matusi, Yao hayana kifani
jaribu kufafanua tafadhalHivi kwa nini watu wanapenda kujidhalilisha namna hii??
Mkuu, sahau kabisa lots zote zilizosalia 😁😁.Mbona siku hizi hatupati updates za ujenzi wa SGR lot 3 na 4 (Makutupora -Tabora-Isaka) imefikia percent ngapi? Mara ya mwisho nilisikia lot 3 imekamilika 15% wakati Contractor Yepi Merkezi walipoiacha, naona imechelewa sana.