Cosota Wanaweza nipatia kibari cha Msemo wangu huu "kufuga ndevu nikupenda wembe sh 100"

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,001
45,511
Je huu msemo wangu au ushairi pale cosota wanaweza nipatia haki miliki "kufuga ndevu nikupenda wembe sh .100"
 
Wembe kuwa shilingi 100 sio shida, shida ni kuushika huo wembe na kuuweka kwenye kidevu. Unashangaa unatoka na damu.
 
Ivi namimi wanaweza kunipa hatimiliki yahuu msemo wangu.."ukiona mwanaume anatoka chumbani kwa Mamayako amejifunga kitenge cha Mamayako basi huyo ndiye Babaako hata kama sio Babaako mzazi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…