Cosmological truth

Kama uwepo wa Mungu sio kweli kwa kuwa hakuna ushahidi wewe unao ushahidi unaothibitisha kwamba Mungu hayupo? Quantum physics yenyewe inakubali kwamba kuna kuna visivyoonekana. Swali ni je! Atheists wanaweza kuthibitisha kwamba Mungu hayupo?
Hakuna haja ya kuthibitisha kutokuwepo kwa Mungu ambaye uwepo wake haujawahi kuthibitishwa.
Alafu vitu visivyoonekana kwenye Quantum Physics vina justify vipi kwamba Mungu yupo?
 
Duh! halafu mtu anakuja anakusifia kabisa kuwa unajua kujenga hoja.

Yani jambo la imani wewe unasema kila kitu kingekuwa clear kwa kila mtu.

Na bora muendelee kujificha nyuma ya mgongo wa sayansi maana bila ya hivyo mtaumbuka tu.
"Your thoughts control your life, you’re the creator of your everything, if you create it you can take it out. Choose your thought wisely"
 
Kuna faida nyingi sana.ila ninayoipenda Mimi kuamini kuwa mungu yupo au hayupo kunampa mtu purpose of life and its definition
Huwezi kuwa na foremost purpose of life ilihali watu ni tofauti na kila mtu ana ona uhalisia kupitia macho yake mwenyewe.Lakini watu wanaoamini uwepo wa Mungu ni watu wenye kujitesa kwa kujitakia.Ni watu wenye akili ambazo kama biashara ya utumwa ingerudi leo wasingekuwa na uwezo wa kufanya chochote cha kuwazuia wasiwe bidhaa sokoni.
 
Kwa nini kuamini kuhitaji sababu?

Mtu anapobashiri na kuamini kwamba, ukirusha kwa mara ya kwanza juu shilingi yenye nyuso za mwenge na kichwa, shilingi itaangukia uso wa kichwa juu, anakuwa na sababu gani ya kuamini kwamba uso wa kichwa utaangukia kutazama juu na si uso wa mwenge?

Watu wanabashiri vitu kama hivi kwa kuweka hela nyingi sana. Ukiondoa imani tu, sababu gani inamfanya mtu achague kichwa au mwenge?
 
Same story. Walioonja maisha ndani ya Kristo wameshaona, hivyo sio rahisi kuwatapeli
 
Unaweza ukaelezea ni vp huu mfano unaingia kwenye kundi la imani?
 
Unaweza ukaelezea ni vp huu mfano unaingia kwenye kundi la imani?

Inaonekana neno imani hujalielewa na tafsiri yakoni finyu sana.

Umesema imani inahitaji sababu.

Kwa maana nyingine,hakuna imani isiyo na sababu.

Mtu anapoambiwa, chagua sura ipi ya shilingi itaangukia juu, ukipatia timu yako inapata kuanza mpira, au unapata hela kwenye kamali.

Mtu anapochagua kwamba kichwa kitaangalia juu, anachagua hilokwaimanikwamba matokeo ya kurusha shilingi yatafanya kichwa kiangalie juu.

Imanihii ya kuaminikwamba kichwa kitaangalia juu, na si mwenge, inatokana na sababu gani ya kueleweka?

Umesema imani inatokana na sababu.Hakuna imani isiyo sababu.

Sababu gani ya kueleweka ya kupendelea kichwa au mwenge unaweza kuitoa?

Statistically vyote vina 50/50 chance ya kuwa right.
 
Hakuna haja ya kuthibitisha kutokuwepo kwa Mungu ambaye uwepo wake haujawahi kuthibitishwa.
Alafu vitu visivyoonekana kwenye Quantum Physics vina justify vipi kwamba Mungu yupo?
Hahaha,

Umenichekesha sana hapo "vitu visivyoonekana kwenye Quantum Physics vina justify vipi kwamba Mungu yupo?"

Ni sawa na mtu anakwambia kwamba "tazama kwenye akaunti yako ya Benki, hakuna dola bilioni moja, hilo linathibitisha mimi nina dola bilioni moja kwenye akaunti yangu ya benki Uswizi".

Maisha yangekuwa simple hivyo ningeweza kununua chochote kwa trick hii!

Unaenda kwa dealer wa magari, unamwambia tu natakaunipe hilo gari lako lafahari kabisa. Tazama katika akaunti yakohauna dola bilioni moja. Hilo maana yake nina dolabilioni moja nitakulipa tu usiwe na shida.

Hii ni logical fallacy.

Let's say kwamba kuna vitu ambavyo havionekani kwa macho yetu.Kwa mfano kuna infrared rays hatuoni kwa macho.

Kuwepo kwa kitu A kisichoonekana hakuthibitishi kwamba kitu B kisichoonekana kipo.

Ukikubalikwamba Mungu yupokwa sababu vitu visivyoonekana vipo, ni lazimaukubali kwamba Mungu hayupo kwa sababu vitu visivyoonekana vipo pia.Kwa sababu kama Mungu hayupo,atakuwa haonekani.

Ukikubali kwamba vitu visivyoonekana vipo,na kwa hiyo Mungu yupo ila haonekani, na pia kwa sababu vitu visivyoonekana vipo Mungu hayupo na haonekani, utakuwa umekubali kwamba Mungu yupo na hayupo kwa wakati huo huo.

Ukishakubali kwamba Mungu yupona hayupokwa wakati mmoja huohuo,utakuwa ushaji contradict.

Hapondipo inabidi kweliuzame katika Quantum Physics.

Kwa sabababu Quantum Physics ndiyo inatuambia particle inawezakuwepo na kutokuwepo kwa wakatimmoja na sehemu moja.
 
Umeingizia huu mchezo kwenye kundi la imani na ndiyo nikakuuliza je huu mfano wako unaingiaje kwenye kundi la imani?

Hujajibu ni vp huu mchezo unaingia kwenye kundi la imani ila unataka mi mie nikupe sababu za watu kwanini waanaamua kuchagua mwenge na si bichwa au kinyume chake,.

Huu mchezo unaingiaje kwenye kundi la imani?
 
Imani ni nini?

Nimeeleza hapo juu kwamba inaelekea tafsiri yako ya neno imani ni finyu.

Labda tuanze kwa wewe kunieleza maana ya neno imani unavyolielewa wewe ni ipi?

Imani ni nini?
 
Theists ni watu wa ajabu sana. Minds zao zime adapt kwenye kupokea na kuamini chochote.Hawataki kutafuta ukweli kwenye hiyo fake reality wanayoishi.Hawataki kufanya analysis ya kuchambua mbivu na mbichi ili waweze kuwa na uhalisia wenye mantiki.Wakikutana na imani za dini ambazo ni kama opium ndio kabisa wanashindwa kuona nyeusi ni ipi na nyeupe ni ipi.Ndio maana kila siku wanatafuta sababu za kuamini kwenye hizo dini pamoja na Miungu yake licha ya kwamba ni ant-life practices.
 

Mimi nakubali kwamba kuwa na akili ni pamoja na ku entertain mawazo tofauti na wewe.

At least kujua kwa nini yako hivyo.

Nimemsoma Dr. Yuval Noah Harari, ana a very interesting theory inayoweza kutetea theism usiione ya ajabu sana.

Umeshawahi kumsoma?
 
Hakuna haja ya kuthibitisha kutokuwepo kwa Mungu ambaye uwepo wake haujawahi kuthibitishwa.
Alafu vitu visivyoonekana kwenye Quantum Physics vina justify vipi kwamba Mungu yupo?

Wewe google tu utaona machapisho ya wanafizikia.
 
Kuamini sio huko mkuu,,hayo ni makisio sio imani,imani inasababu
 
Hapana ila nitaitafuta hadi niipate.Wapo watu waliojaribu kueleza nadharia za kwanini kuna waamini wa dini kwa kutumia sexual selection theory. Ambapo wanadai religious rituals zipo ili ku influence watu wa mate na mambo mengine ya kufanana ingawa ushawishi wake bado ni mdogo.

Sina uhakika sana kama ninasumbuliwa na Schadenfreude au lah, lakini huwa napenda kuwasikiliza wafia dini wanavyoimbia, kuabudu na kuomba kwa vitu visivyokuwepo.Kwenye mawazo yangu huwa nawauliza swali.....Kwahiyo hapo ulipo unaongea na Mungu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…