Cosmological truth

Duh! halafu mtu anakuja anakusifia kabisa kuwa unajua kujenga hoja.

Yani jambo la imani wewe unasema kila kitu kingekuwa clear kwa kila mtu.

Na bora muendelee kujificha nyuma ya mgongo wa sayansi maana bila ya hivyo mtaumbuka tu.

Hoja hata ukiiona utaijua wewe?

Ukishaamini kuwapo kwa Mungu ushatupa hoja tayari. Unakwenda kwa imani tu.

Imani unaruhusiwa kuamini hata kwamba pembetatu ni duara.

Ila ukileta iamni hiyo hapa JF umeshaileta ijadiliwe na iwekewe maswali.
 
Hi mkuu

I would like to forestall yr great mind in swifting out matter especially in these critical times where the religious realm is defiled with deceptions...congratulation mkuu
But i got the followings on yr weledi mkuu
1.it is true that,the cross,marry statue and also trininty are no longer part and percel of the bible teachings,may be if some one criticise this may come with vivid bible reference..

2. It seems black people suffers from foreign religious institutes especially christians organizations,while white beings are free of this devastating slavery.just tell us how??it is true two phases walked in on the same era.that colonialism and bible pioneering plunged in simultaneously in Africa..where counterfeit pioneers used bible shadow to feed their womb ...is that gurantee it to believe christianity is counterfeit coral???

2.in your stanza of flow,,u gotta said bible it self allows slavery,i want to be elucidated here mkuu with bible reference since collosian 2:22 just talks false pretence in religious world,i mean the said harloit
 
Really this is great mind mkuu..
But something is so awful and shocking,that even professors with independent mind are dissolved in religious deceptions and dogma.
They are coach potatoes in reasoning the counterfeitism in their religious kit
 
Mkuu shukrani,
 
Mkuu vitu gani vinakufanya usiamini almighty god hayupo??
Nilikua siamini pia kuwa mungu hayupo lakin science imeleta definition zaid
 
Sawa..........
 
Sawa kabisa mkuu wangu....
 
Hoja hata ukiiona utaijua wewe?

Ukishaamini kuwapo kwa Mungu ushatupa hoja tayari. Unakwenda kwa imani tu.

Imani unaruhusiwa kuamini hata kwamba pembetatu ni duara.

Ila ukileta iamni hiyo hapa JF umeshaileta ijadiliwe na iwekewe maswali.
Unazidi kujichanganya tu,kuamini kitu kunahitaji sababu na ndiyo maana nyie mnapinga sababu zenye kuwafanya watu kuamini mungu. Sasa unaposema unaweza tu kuamini pembe tatu ni duara una maanisha kuwa kuamini hakuhitaji sababu na ndiyo maana ukatoa mfano huo wa jambo unaloliona haliwezekani.

Imani ingekuwa haina sababu basi isingewezekana kumshawishi mtu aamini kitu au kumfanya mtu aache kuamini anachokiamini na kumfanya aamini kitu chengine bila kumpa sababu zitakazo mshawishi kufanya hivyo.

Na jambo la imani siku zote huwa linakuwa na wenye kuamini na wasioamini,unajua huwezi kukuta watu mchana wa jua kali wakibishana kuwa huo ni mchana au usiku..lakini ukiwafungia watu hao kwenye chumba chenye giza wakati wote basi haitokuwa ajabu kama watakuwa wakibishana kuwa ni usiku au mchana.

Na hivyo ndivyo ni sawa na imani ya mungu.
 
Mkuu vitu gani vinakufanya usiamini almighty god hayupo??
Nilikua siamini pia kuwa mungu hayupo lakin science imeleta definition zaid
Mkuu uwepo wa Mungu siyo kweli maana hakuna ushahidi sahihi na wenye nguvu za kuonesha kuwa Mungu yupo.
Hata hayo mafundisho pamoja na maandiko yanayosemekana kuwa ni ya Mungu yamejaa contradictions kibao.
 
Mkuu safi sana kwa kuandika hii ishu...Miaka ya nyuma nikiwa ndio niko form five Nilishawahi kumwambia mtu mmoja kuhusu "UTATU WA MUNGU" kuwa haupo bado kidogo anitoe roho...
 
Naomba nikuulize,Je kuamini Katika dini ,ndiyo kuamini Katika mungu ?
 
Naomba nikuulize,Je kuamini Katika dini ,ndiyo kuamini Katika mungu ?
Sijui wewe dini unaichukuliaje ila mie dini naichukulia ni mfumo wa maisha ambao mungu anataka tuishi na kwenye dini ndipo ambapo tunapata kujua yale yenye kumuhusu mungu,kwa hivyo utaona hapo uhusiano wa dini na mungu,.
 
How could you say that Jesus is a being while even his conceivation was hollified? Well...religions as a way to understand the works of God have been spoiled and mislead due to extra foolish affairs of human being like crusades wars and other malladies, but that doesnt prove that God is a mere abstract.

And in the post no 1 you said that God created the universe in 6 days, I wonder that or you havent made a thorough read of the holy book.
 
Mkuu shukrani kwa hilo ,,,labda kumsaidia huyo ndgu
“Imani ni tarajio lililohakikishwa la mambo yanayotumainiwa, uthibitisho ulio wazi wa mambo halisi ingawa hayaonekani.” (Waebrania 11:1 ) Ili kuwa na tarajio hakika, ni lazima kuwepo na sababu za msingi za kuamini jambo. Kihalisi, neno la lugha ya awali linalotafsiriwa “tarajio lililohakikishwa” lina maana pana zaidi ya kuwa na hisia za ndani tu au kupenda jambo fulani. Hivyo imani inahusisha uhakikisho unaotegemea uthibitisho hakika.
 
Mkuu uwepo wa Mungu siyo kweli maana hakuna ushahidi sahihi na wenye nguvu za kuonesha kuwa Mungu yupo.
Hata hayo mafundisho pamoja na maandiko yanayosemekana kuwa ni ya Mungu yamejaa contradictions kibao.
Mkuu unaamini nini???kama science niambie tufahamishane professor na wataalamu wanavyosema
 
Mkuu safi sana kwa kuandika hii ishu...Miaka ya nyuma nikiwa ndio niko form five Nilishawahi kumwambia mtu mmoja kuhusu "UTATU WA MUNGU" kuwa haupo bado kidogo anitoe roho...
mkuu watu wamekariri sana ,,hili jambo la uongo limewafanya watu warudi nyuma sana kiiman
 
Mkuu uwepo wa Mungu siyo kweli maana hakuna ushahidi sahihi na wenye nguvu za kuonesha kuwa Mungu yupo.
Hata hayo mafundisho pamoja na maandiko yanayosemekana kuwa ni ya Mungu yamejaa contradictions kibao.
Kama uwepo wa Mungu sio kweli kwa kuwa hakuna ushahidi wewe unao ushahidi unaothibitisha kwamba Mungu hayupo? Quantum physics yenyewe inakubali kwamba kuna kuna visivyoonekana. Swali ni je! Atheists wanaweza kuthibitisha kwamba Mungu hayupo?
 
Huwa nafurahi sana ninapoona watu wakiwa wanajihoji kuhusu uongo unaoiumiza dunia kwa muda mrefu hasa huku kwetu Africa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…