Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,227
- 1,105
Bado 0-0,tatizo kubwa wachezaji wetu wa mbele kila mmoja mchoyo.
Kwa wale wenye kisimbusi cha Azam TV....
Mnaweza tazama hii mechi kupitia Chanel ya TVM Malawi...chanell 155
Nipo tayari uwanjani.
Nipo tayari uwanjani.
ebu tutajie list ilivyopangwa