COSAFA Cup, leo 18 Mei 2015: Tanzania vs Swaziland

COSAFA Cup, leo 18 Mei 2015: Tanzania vs Swaziland

Yaani hii michezaji haijui hata maana ya assist ni nini? Kila zezeta likishika mpira linataka kufunga tuu. Yaani hata teamwork hamna utafikiri imeokotwa jalalani ikapelekwa uwanjani. Inauma sana kuona kodi zetu zinachezewa kipumbavupumbavu.
 
Hao wapumbavu wajue wanajiwakilisha wao na wazazi wao mapimbi kabisa. Likocha linaona makosa linauchuna msuva makalio yake. Yaani inakera hii michizi hadi basi pumbavuu zao. Yaani hao na tifutifu ni MInajiri KUnunua MAji ya MAendeleo MAkubwa ya ZAidi Ongeza

Hahahahaha! Mkuu umecheza na lugha, nimecheka sana
 
Huyo kocha analipwa mshahara kutokana na kodi zetu na ameiweka timu mali ya familia yake,
nyambafu kweli huyu kocha.
 
Mashabiki wa Taifa Stars hawajawahi kuonja furaha ya ushindi tangia wazaliwe, na kunahatari wakafa na huzuni mioyoni mwao.
Poleni sana,najua inawauma sana ila ndiyo ukweli wenyewe..
Ukweli mchungu huu,Cc Jamal Malinzi
 
Last edited by a moderator:
wachezaji wetu huwa wazuri kwa mechi za kununua hizi mech za ukweli ukweli ni madudu tu nanyi sasa mmejionea ilivyo aibu kwa hili litimu la taifa la kichwa cha mwendawazimu. ingekuwa wanacheza dhidi ya ruvu shooting ungeona jinsi wanavyotisha baada ya kuwa wamewapa mshiko ruvu shooting. sasa wamekuta mechi ya kukweli kweli wana kosa magoal ya wazi kabisa.

Tofautisha timu ya Taifa na klabu,kila moja ina kocha tofauti na mbinu tofauti wewe pimbi..
 
TFF ya tenga, Taifa stars ya Maximo.... Heshima kwenu.

We miss you sana.

NB: sina imani na kocha wa sasa wa Taifa stars hata kiogo!! huwezi bet kwa huyu at least enzi ya Kim Poulsen.
 
Nilisha tangaza wazi kwahujuma zilikuwa kwenye ligi yetu kamwe sasa tutaendelea kuwa kichwa cha wendawazimu.
 
Ulimakafu kuna watu naweza kuwaelewesha wakaelewa ila wewe nmeangalia jina lako halipo kwenye list hiyo. mi huwa sipend kujibishana na division 5. hawa hukimbilia matusi na si hoja. kama kukosa magoal kwa msuva ni kutokana na kocha sasa hii ni argument ya mtu ambaye hata uelewa wake wa anachosema ni mdogo sana. so kocha ndo anayekufungia magoal? ni kweli inategemeana na kocha.. kocha wa team zetu anakuwa tayari ashakwambia mechi hii unagoal zako 2 jitahidi maana watu washachukua pesa. ukija huku taifa stars mambo hayako hivyo. mtu anakosa magoal ya waz napo asingiziwe kocha? huu si ukondefu wa fikra kabisa?
 
Last edited by a moderator:
nilipokuwa nikisema kuwa team zetu hizi zinanunua mechi na kutengeneza wafungaji bora mlinikatalia mkaleta usimba na yanga sasa mnayaona? kama tunashindwa kuwafunga swaziland tutawafunga nani? maana hiki si kichwa cha mwendawazimu tena... ni KICHWA CHA MAITI kabisa, na michezaji yetu BUTU inasifika kwenye ligi iliyojaa hujuma na kununua mech.
 
mimi nlitaka Msuva afunge.... sema amefunga? we mwenye ushabiki wa kimjini hebu elezea kama umeona kuna mpira wa maana umechezwa na hii michezaji mibovu kabisa kuwah kutokea duniani. kila lichezaji linawaza kufunga lenyewe tu halijui kuna position unapswa utoe pass afunge mwenzako. yana dhani ni hizi mechi za ligi za kununua kwa team nyongefu waachiwe magoal ili wawe wafungaji bora n.k no wonder wanashindwa kucheza nje ya nchi kiwango kidogo
 
Unasikitisha sana na hoja zako za kishabiki, hivi ubutu wa safu za ushambuliaji Kwa timu za Africa umeanza Leo?, halaf unaonekana ni shabik wa simba coz badala ya kuchambua mpira ww una kazi ya kuponda wachezaj wa yanga2
 
Makosa yapo Kwa kocha coz kile kikosi alichoita cjui alikuwa anajifikilia nn? Kawachukua watto kibao badala ya kuwaita wa2 wa kazi kama samata na ulimwengu, kama nitakuwa sawa sidhan kama amemuita hata telela, na kamuacha Jonas mkude, Ni kwamba kocha ndiye mwenye makosa na Ni kichwa ngumu hashauliki anafanya timu kama yake na mke wake, na anatoa majib ya jeuri Kwa waandishi wa habar akiulizwa maswali ya msing
 
Telela na Mkude waliitwa lakini wote ni majeruhi.
 
Telela na Mkude waliitwa lakini wote ni majeruhi.

Sawa, je samata na ulimwengu? Maana, kocha anajikuta kichwa ngumu sana mpka anakera, halaf kaacha washambuliaj wazur anaenda kumchukua john bocco aliyekwisha jichokea
 
Huo ubutu wa ushambuliaji ni team za africa inamaana hiyo SWAZILAND ni ya WAPI? ULAYA? maana kama wao wameshinda siye waafrika wa wapi tunakuwa butu? hawa si ndo wachezaji hawa hawa wanaocheza ligi yetu na kufunga mabao kibao? au unataka kusema ligi yetu ni mbovu si kiwango? unaji contradict sana unaposema ubutu wa timu za africa wakati swaziland ni team ya africa na imeshinda
 
mimi ni mshabiki wa Yanga Asili Ynaga isiyonunua mechi. yanga ya wazalendo , yanga isiyoendeshwa na mtu mmoja . nataka yanga hasa yenye makali ya ukweli kweli na si yanga ya kushinda kwa pesa. mbona tulikuwa nayo yanga ya akina thom kipese, ya akina abeid mziba? ya akina willy mtendamema, nonda shaban nk. we mpira umeufahamia wapi ndugu yangu? acha hizi hbr we shabikia tu ila usijifanye unaijua yanga.nsijua yanga toka miaka ya 75 wewe hujazaliwa
 
Back
Top Bottom