Hayo ndiyo matokeo ya Timu inayoundwa na wachezaji wa kubebwa.Sijaona Msuva wala nini.TFF wawajibu watanzania mmepeleka watalii SA?Timu gani hii mbovu kiasi hiki?Hata kama wanataka kusajiliwa nani atasajili majitu yanayopoteza pasi namna hiyo?Acheni kudhalilisha nchi warudisheni nyumbani waendelee kula chipsi.