Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,227
- 1,105
Nipo tayari uwanjani.
Kundi jepesi, nina uhakika tutapita
Madagascar 2-1 Lesotho,dakika ya 89.
Kama TBC TV ya Taifa iliweza kuonyesha mechi za klabu ya Yanga leo itashindwa kuonyesha timu ya Taifa kweli?
tunapigwa 3
Ndani ya dk 2 tumekosa magoli 2.
Wajitahidi tupate ushindi.
TBC wanakera sanaa
Kupitia Azam tv mechi hizi zinaoneshwa na MBC Malawi....
Kwa wale wenye kisimbusi cha Azam TV....
Mnaweza tazama hii mechi kupitia Chanel ya TVM Malawi...chanell 155