Cosa nostra

Kichwa cha habari ni COSA NOSTRA,sikujua unaongelea chimbuko la cosa nostra.Basi badili kichwa cha habari kisomeke CHIMBUKO LA COSA NOSTRA.
 
Kichwa cha habari ni COSA NOSTRA,sikujua unaongelea chimbuko la cosa nostra.Basi badili kichwa cha habari kisomeke CHIMBUKO LA COSA NOSTRA.
Mkuu mbona kuenea na kushamiri dunia mzima imeongelewa napo mbona husemi wawekee tittle zake?
 
Mkuu mbona kuenea na kushamiri dunia mzima imeongelewa napo mbona husemi wawekee tittle zake?
Tatizo watu wanadhani ninadiss au siikubali hii thread. Sema '' Our Thing" ni kitu pana sana. Tuyaache
 
i see the best when i look at the best of the best oF MY BEST EL CHAPO
 
My best Mobb Boss ever is the boss himself,"Lucky" Lucciano,never been caught by the law,died peacefully because of old age..
Mkuu umepata wapi facts zako? Lucky Luciano alikamatwa akashtakiwa na akawa deported kurudi kwao Italy mwaka 1946.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…