Cosa nostra

umenefunguka vyema boss imenigusa sana mkuu
 
My best Mobb Boss ever is the boss himself,"Lucky" Lucciano,never been caught by the law,died peacefully because of old age..
 
mbona umenibagua hujani-tag!!?
 
Huwa natafakari sana namna ubongo wa watu unavyofanya kazi....

Yale mambo ambayo wewe unayaona ni hatari hata kuyafikiri kuna wengine kwao ndiyo "priority"....

Watu wamekulia kwenye uhalifu,wanaishi wakiwa wahalifu na wanakufa wakijisikia viuzuri kuwa wahalifu,yaani kwao ni jambo la hovyo sana kutokuwa mhalifu...

Kama unavyoona wewe ni hatari na isivyopendeza kuwa mhalifu na wao wanaona hivyo hivyo kutokuwa mhalifu.Binadamu tunashangaza sana wakati mwingine.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…