Coronavirus: Ubalozi wa Uingereza wasema Tanzania ni "Red list Country"

Mjinga mamakoooooo.
Kama imekupa furaha kunitukania marehemu Mama yangu, Mungu akubariki.

Argument ni kati yangu na wewe, sijui marehemu mama yangu anaingia vipi. Lakini hainishangazi maana natambua Dunia ni mchanganyiko wa watu wa aina zote, hata tusiowatarajia.
 
Huko Oman 🇴🇲 18% ya watanzania wanaenda wana COVID-19
 
Hii ndio Tweet yao:

"This is important information for British Nationals travelling from Tanzania to the UK. As Tanzania is a red list country, you must book hotel quarantine before you travel."

=====

View attachment 1703060
"
Wao wanataja 'vaccine', bali sisi tunalitaja jina la Mungu aliye hai! Wao wanaanguka na kuinama, sisi tunainuka na kusimama! Mungu Muumbaji, teta nao wanaoteta nasi, pigana nao wanaopigana nasi! Wefedheheshwe, warudishwe nyuma, kwa maana wanaizongazonga Tanzania iliyoamua kukukimbilia Wewe, amina!
 
Hii ndio Tweet yao:

"This is important information for British Nationals travelling from Tanzania to the UK. As Tanzania is a red list country, you must book hotel quarantine before you travel."

=====

View attachment 1703060
"
Yote haya sawa lakini utasikia "UK iko bega kwa bega na serekali ya Tanzania na itaendelea ku-support bajeti ya nchi maradufu".

EU nao mara oh "EU itaimarisha zaidi ushirikiano na serekali ya Tanzania katika kuwaletea watu maendeleo" huku wakijua fika kuwa maendeleo wanayoyasema yamewalenga wale tu wanaosifu ba kuabudu ujinga!

Hawa wazunguz sometimez mimi siwaelewagi bana!!
 
Acheni kukuza mambo nyie BAVICHA. Hizo 'red list countries' kwa UK ziko nyingi, zaidi ya 30, ikiwemo Ufaransa na nchi nyingi tu za Ulaya. Acheni siasa za matukio ndio zinadhoofisha vyama vya upinzani hapa nchini.

Wakati wa COVID-19 awamu ya 1 mlipiga makelele hapa hadi Wabunge wenu wakasusia vikao vya Bunge. Baadae wakarudi wenyewe bungeni bila kuitwa. Haya, wakati wa uchaguzi mkuu mkapiga kampeni nchi nzima bila barakoa wala tahadhari yoyote. Ni upi msimamo wa CHADEMA kuhusu COVID-19?

Kwa sasa dunia nzima inapambana na COVID-19 awamu ya 2&3, nyie mmekazana kuiangalia Tanzania peke yake, kwa kuokoteza kila taarifa mbaya inayohusu nchi. Na kibaya zaidi mnaongea tu bila data na uchambuzi wowote.

Mkakati wenu ya kutisha watu na kupinga kila kitu ili serikali ionekani haifai kabisa, hauna matokeo endelevu kisiasa. Muda si mrefu hali ikitengemaa mtakosa uhalali wa kisiasa .
 
Kufurahia au kumtakia majanga mwanadamu mwenzako ni ushetani kama ushetani mwingine.......haijalishi umefanywa na nani......

..je, wanachofanya ccm wakitumia vyombo vya dola, tume ya uchaguzi, na msajili wa vyama vya siasa, dhidi ya wapinzani, ni ushetani?
 
Tanzania ni nchi inayohujumu jitihada za dunia kwenye mapambano dhidi ya Corona.
Jitihada au wendawazimu! Jitihada kusambaza chanjo ambayo haikingi na virusi vipya vinavyoibuka. Tz haiwezi kujihusisha na huo wendawazimu. Unaagiza chanjo leo kesho kuna kirusi kingine kinachohitaji chanjo nyingine!

Au unazungumzia huo wendawazimu wa vyeti vya corona! Unapima leo majibu kesho. Unaenda airport au kwenye ndege unapata corona ila ukifika kwenye destination yako unaonesha cheti kinachoonesha huna corona.

Bob Marley alishasema "You can fool some people for some time or all people for some time, but you can't fool all the people all the time".

Nyie nyumbu na nyumbu wenzenu wa Ulaya mmekubali kuicheza ngoma ya hao mashetani wanaotengeneza hivyo virusi. Ila kuna siye tunaoona huo ni wendawazimu tumekataa kuwa fooled.

Chanjo haijatazamiwa kwa miezi 18 kama taratibu zao wenyewe zinavyosema lakina unaambiwa ina ufanisi wa 90%. Ukiwa nyumbu kama Kenya unakubali. Wanakukopesha unaagiza chanjo. Kesho kuna kirusi kipya hakina chanjo. Watakukopesha utaagiza chanjo zingine! Wendawazimu.
 
Haya mna mikakati gani mpaka sasa?
Mna chanjo yenu mnayoaitengeneza?

Chanzo za magonjwa mengine mnazotumia mlitengeneza wenyewe?
 
Jitihada au wendawazimu! Jitihada kusambaza chanjo ambayo haikingi na virusi vipya vinavyoibuka. Tz haiwezi kujihusisha na huo wendawazimu. Unaagiza chanjo leo kesho kuna kirusi kingine kinachohitaji chanjo nyingine!

Au unazungumzia huo wendawazimu wa vyeti vya corona! Unapima leo majibu kesho. Unaenda airport au kwenye ndege unapata corona ila ukifika kwenye destination yako unaonesha cheti kinachoonesha huna corona.

Bob Marley alishasema "You can fool some people for some time or all people for some time, but you can't fool all the people all the time".

Nyie nyumbu na nyumbu wenzenu wa Ulaya mmekubali kuicheza ngoma ya hao mashetani wanaotengeneza hivyo virusi. Ila kuna siye tunaoona huo ni wendawazimu tumekataa kuwa fooled.

Chanjo haijatazamiwa kwa miezi 18 kama taratibu zao wenyewe zinavyosema lakina unaambiwa ina ufanisi wa 90%. Ukiwa nyumbu kama Kenya unakubali. Wanakukopesha unaagiza chanjo. Kesho kuna kirusi kipya hakina chanjo. Watakukopesha utaagiza chanjo zingine! Wendawazimu.
Usiropoke usichokijua.

Taarifa rasmi za utafiti:

1) Matumizi ya chanjo UK, yamepunguza vifo kwa 60%

2) Matumizi ya chanjo Israel yameounguza vifo kwa 94%

Wenzetu wanaenda kwa tafiti na takwimu, sisi maabara yetu ipo kichwani mwa Magufuli. Yeye ndiyo maabara, yeye ndiye research centre, yeye ndiye database - upumbavu mkubwa!

Dunia ya wenye akili, siku zote ni utafiti na takwimu, siyo huu uwendawazimu wa matamko.
 
Mmekomaa mnashika bango bila kutumia akili. Uk chanjo imepunguza vifo kwa 60% lini!???... Kutoka watu wangapi kwa siku mpaka wangapi?.. kwa takwimu za Jana wamekufa watu 799 ndo wamepungua?, Angalia trend yao ya tangu mwaka jana halafu uone na ulichoandika hapa. Halafu chanjo yao ya AstraZeneca ilinunuliwa last week na South Africa chanjo mil.1 ndani ya siku chache ikaonekana haifai kupambana na kirusi kipya cha COVID ambacho kimeshasambaa duniani kote Sasa hivi. Kuna chuo Australia kilitoa chanjo December ndani ya wiki ikaonekana wanaochanjwa wakipima HIV wanakutwa +ve Ila msivyo na akili mmekomalia chanjo. Muda uliowekwa WHO wa research ya chanjo yoyote ni miezi 18, Ila last year march wameanza research November tayari Wana chanjo na mafala mnashangilia tu.
 
Sina uhakika kama una uelewa wa kutosha katika masuala ya tiba. WHO haijaweka muda wa chanjo kupatikana na haijawahi kuweka muda kwa chanjo yoyote.

Walichokuwa wameeleza ni kuwa kwa uzoefu wa chanjo nyingine na taratibu za testing, walitarajia chanjo kupatikana baada ya miezi 18.

Upatikanaji wa chanjo hutegemea mambo mengi. Chanjo ya ndui ilichukua zaidi ya miaka 50 kupatikana, chanjo ya malaria na HIV mpaka leo, zaidi ya miaka 20 haijapatikana. Chanjo haipatikani kama machungwa, kwa kusema napanda leo nitaanza kuvuna baada ya miaka 5.

Chanjo hutegemea aina ya virus/bacteria, na zaidi kufahamika kwa tabia zake. Chanjo zote zinazotumika sasa hivi zimeidhinishwa na WHO. Sasa wewe sijui unaongelea WHO gani.

Chanjo hizi, kama zilivyo nyingine, inawezekana hazipo efficient 100% lakini zimefikia vIwango vya WHO.

Pia ni uwongo kusema kwamba chanjo ilionekana haiwezi kufaa kule SA. Serikali ya SA ilieleza kuwa baada ya kugundulika Covid 19 variant, wameamua kusitisha utoaji wa chanjo ili wawe na uhakika kuwa chanjo hiyo itaweza kutoa kinga pia dhidi ya hivyo virus vipya. Lakini UK waliendelea kutoa baada ya kujiridhisha kuwa chanjo iikuwa na uwezo wa kupambana na mutated Covid 19.

Pfizer vaccine found to give strong immune response to new Covid variants

Study finds patients have strong T-cell response after one jab, and second boosts antibody response

Coronavirus – latest updates

UK official statistics ya infection na mortality rate per day ni -28.

Kuna sharp drop kuanzia mwezi February 2021.
 
Back
Top Bottom