Coronavirus: Ubalozi wa Uingereza wasema Tanzania ni "Red list Country"

Hapana ila kwa sababu ya ubishi na kejeli zenu hatuna budi kushangilia. Ninyi mna bunduki na rIsasi sisi mikono mitupu. Kwanini tusishangilie mnapokutana na wenye nguvu kuliko ninyi??
wenye nguvu gani sasa, kama corona imewabaka kuliko sisi, hiyo jeuri wanaitoa wapi!!!!
 
Tatizo kukarabati uharibifu huu itatuchukua muda sana.Utalii umeharibiwa na unaenda kuvurugika zaidi kwa sababu ya ubishi wa watawala wachache wenye ubinafsi.
Hii siyo habari njema kabisa,dunia inatuchukulia kama nchi ambayo baadaye itabaki kuwa chanzo cha masalia ya Corona hata itakapotokomezwa kwingine duniani.
Na bado dikteta anataka kuongezewa miaka mingine tena.
 
Magu hakufaa kupewa nafasi aliyanayo na haya ndio matokeo yake.
Yeye na CCM yake wamevuruga Kila kilichofanywa na watangulizi wake na kuwakejeli kwamba hawakufanya chochote.Mifumo yote ya siasa,kiuchumi,kijamii,ki socialogy kitaifa na kimataifa halafu wanataka tuwasifie.Huu ni Uhaini wa kimfumo?
 
Aliewapa jina la nyumbu MUNGU ambariki kwa kweli
ni uonezi kwa wale wanyama.

wale kuna mazingira hutumia akili, mfano mmoja akiwa anazaa, hata kama walikuwa safarini husimama kwanza na kumpa kampani.

hawa jamaa hawafanani na mnyama mwingine yeyote, wako league yao.
 
Yeye na CCM yake wamevuruga Kila kilichofanywa na watangulizi wake na kuwakejeli kwamba hawakufanya chochote.Mifumo yote ya siasa,kiuchumi,kijamii,ki socialogy kitaifa na kimataifa halafu wanataka tuwasifie.Huu ni Uhaini wa kimfumo?
Changamoto naiona kwa hili kabisa halifai kupewa uongozi, Makonda, Mnyeti, Gwajima, Jiwe, Kigwa n.k ni aibu tupu
 
Na bado dikteta anataka kuongezewa miaka mingine tena.
Inambidi kushawishi,kwa kulazimisha ili alinde maovu yake kwa sababu hana uhakika kama watakomfuata watamlinda.Akijiridhisha kwamba hakuna hatari ya kuwajibishwa ataachia ila akishuku tu kinyume chake,sidhani kama ata risk.Ndiyo maana ukitaka kumchanganya mkumbushe kuhusu Katiba Mpya uone rangi zake zote.
 
Amechanganyikiwa haswa hana anachofanya
 
Sasahivi analalamikia watendaji wake kumkwamisha,unajiuliza huyu Bwana Mkubwa anakwamishwa na aliowaamini yeye mwenyewe badala ya kuwajibishana anakuja kulalamika.Nahisi kuna mahali yeye ndiyo anakwama maana anataka kufanya Kila anachotamani.Hivyo anachukulia Kila mmoja wa wasaidizi wenzake wanawaza kama yeye.
Katika kipindi chake cha kwanza lawama nilikuwa zinabebwa na wapinzani,sasa kimbembe kinaanzia pale ambapo wapinzani hawapo katika utawala wa nchi,amebaki yeye na wana CCM wanaomzunguka ili washibe huku roho zikiwauma jinsi tunavyokwama huko mbeleni.Ukishakuwa mbinafsi hauridhiki na lolote na unageuka roho mbaya.
 
umemtukana mwenzako bila sababu ya msingi.

namimi nakuuliza, unafata nini UK wakati huu, hawakutaki na kuna corona!!!
Usijiongelee wewe.
Kuna wengine tumeoa Uk. Familia zetu zipo Uk.
Kama wewe ulivyooa iringa.
Mke wako akatazwr kwenda kuona wqzazi wake utafurahi?
Si utanyimwa K.
Muwe mnapanua akili zenu msisubiri hadi tuje kuzipanua
 
kwani tangazo la Uk linasemaje kuhusu raia wakazi wa UK??

kama una uraia wa huko, unatakiwa kupimwa uingie.
 
Back
Top Bottom