Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 20,403
- 14,728
Hujamaliza. Lilileta madhara gani kwa Watanzania na Tanzania kwa ujumla?Dengue.

Stupid question.Hayo madhara mwisho wa siku yanatangazwa na nani?
I know,maana mwisho wa siku taarifa rasmi lazima itolewe na meenye kuitoa ni huyo huyo anayezembea sasa atatoa taarifa ya aina gani wewe usie uliza stupid questions unajuaStupid question.
Hapa umeongeza jipya lipi mkuu 'lunatic'?Kubwa jinga wewe ugonjwa umeshaua watu zaidi ya 5000 unasema huoni Jipya?? WHO wameshautangaza Kama Global disease wewe uko huko kwenu Maramba-Mawili umejiegeza kwenye chumba chako na kisimu chako Cha Samsung unasema huoni Jipya ...
kama mama yako
Ni kweli Corona siyo airborn disease ingawa serikali yetu kupitia tangazo la wizara ya afya wanatunganya ni airborn

Umefanya vema kumweleza. Airborn disease ni magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya hewa lakini jwa corona ni tofauti. Hii inaambukizwa kwa direct contacts. Contacts hizi inaweza kuwa kushikana na mgonjwa mwenye vijidudu mkononi, kushika sehemu iliyoshikwa na mtu ambaye mikono yake ilikuwa na virusi, au kwa kugusa droplets za mate ya mtu mgonjwa anapokohoa.

Nimeona watz wengi sana wanajiamini sana na huu ugonjwa, kuwa wana body immunity kubwa, kwamba wamezoea kuishi na wanyama kweny majumba yao. Rafiki zangu, huu ugonjwa ni halisi, watu wanakufa , wananchi wa Italia walidharau sasa madaktari wanachagua nani ahudumiwe nani wamuache afe, wanazika kila baada ya dakika 30. Mimi nipo china, tangu tarehe 22 january mpk sasa sijawahi kutoka ndani, wachina wamekufa wengi sana hasa kipindi cha january hapo mpk february mwanzoni, wapo waliofia ndani, wapo waliokuwa naanguka markets nk. Chukueni tahadhariHuu ugonjwa unakuwa overrated sana ila kifupi ni kama flue tu ni gonjwa la mlipuko soon dunia itatulia
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu 'Bams',
Unanikumbusha ile habari ya yule binti wa Mzee Malicela na 'Zika'.
Haya magonjwa yanayosababishwa na 'virus' yamekuwepo siku nyingi na husababisha milipo nyakati kadhaa, na kuwa kimya pia kwa nyakati mbalimbali.
Kirusi cha aina moja kinaweza kuwa na 'versions' tofauti tofauti zenye nguvu tofauti za maambukizi.
Chukulia tu kwa mfano, vile vya 'flu' ya kawaida ambavyo ni kama vina msimu wake, kila msimu unaowasili unaweza kukuta ni 'version' tofauti inayohitaji 'vaccine' ya aina yake, tofauti na ile iliyotumika msimu uliopita.
Kwa hiyo, haya magonjwa ya 'virus' ni 'complex' kwa sababu ya hizo 'varieties' zinazolipuka katika misimu mbalimbali.
Hii ya COVID-19 wanasema ni 'novel', yaani ni kama mpya. Haijawahi kuonekana ikisababisha ugonjwa kwa binaadam. Hii ni mara yake ya kwanza. Kwa hiyo, hata wataalam wa mgonjwa haya ya 'virusi' hawakuwa tayari kuukabili kwa chanjo na hata njia za utambuzi (vipimo) kubaini watu walio na ugonjwa.
Na hapo hapo, kama ulivyosema, watu amabao wameshambuliwa na huu ugonjwa, kwa sababu mbalimbali za kimaumbile ya miili, huonyesha matokeo tofautitofauti.
Kiufupi ni kwamba ugonjwa umeleta hofu kubw ambazo pengine haikustahilia kuwa hivyo kwa sababu kadhaa:
- njia za mawasiliano ya haraka zimeenea sana duniani kiasi kwamba wakati mwingine inatia hofu kuzisikia, hasa kama ni taarifa ambazo zinatolewa tu bila ya utaalam nyuma yake.
- Corona ni mpya kuonekana kwa binaadam, haikujulikana jinsi ya kuikabiri haraka
- Mkuu Bams, hebu angalia ugonjwa wa 'mafua' yetu tu ya kawaida hapa hapa Tanzania wakati huu. Hivi kweli unaweza kuniambia kwamba watu wamekuwa wakiugua mafua ya aina hii miaka michache tu iliyopita. Mafua yanayotishia kuua watu, na wengi hata hospitali hawaendi. Hawa watu tunaweza kusema wangejitokeza kwenda kupimwa isingeonekana kuwa ndio Corona? Hili ni swali tu, kwani jibu sina.
Hebu tazama watu waliojitokeza na kusema Corona imewashambulia, Waziri Mkuu Canada, Tom Hanks mcheza movie na mkewe, akina Barkley, yule aliyekuwa mcheza basketball kule Marekani, na wengi wengi tu na hata huenda wapo ambao wamejikalia kimya tu majumbani mwao
Papa hivi karibuni, wiki iliyopita alikuwa hajisikii vizuri, alipima Corona, kumbuka Italy imo kwenye heka heka hadi sasa!
Nimalizie tu kwa kusema: Hata 'Flue" ya kawaida huua watu, hasa wazee na watu ambao kinga za miili yao ni dhaifu kwa sababu mbalimbali. Na milipuko ya flue hutokea mara nyingi tu na watu kupoteza maisha.
Corona mimi siioni kuwa ya ajabu sana kama ilivyotangazwa, ukiondoa tu hiyo sifa yake ya huko kuwa 'novel'.
Hadi sasa ni kiasi gani cha watu waliofariki, 5,000? toka wangapi ambao wamepimwa na kuonekana wanao ugonjwa, laki tatu na ushee?
Huu sio ugonjwa wa hatari sana kama tunavyoaminishwa. Dunia ime'overeact', kwa sababu haiujui ugonjwa wenyewe.
Tanzania tunayo tabia mbaya ya kufichaficha taarifa. Hili sio jambo jema.
Naamini huo ugonjwa tayari upo hapa nchini, hata kama tunagoma kutangaza au vipimo vyetu havijaugundua.
Ongezea na hii kwenye utafiti wakoWengi tumeambiwa kuhusiana na ugonjwa wa Corona. Na wengi tunaamini kuwa sasa tunauelewa.
Tunapojihadhari na ugonjwa huu, mategemeo yetu makubwa ni serikali na wataalam wa afya, ambao tunadhani kuwa wana ufahamu zaidi kuliko sisi tusio watu wa fani ya tiba.
Jambo moja tunalotakiwa kujua ni kuwa mpaka sasa, kwenye ugonjwa huu, wote ni layman. Na inawezekana, mtu asiye mtaalam wa tiba, kama anajishughulisha kuufahamu ugonjwa huu kwa kupitoa maandiko mbalimbali ya wataalam wa huko ambako upo, akawa na uelewa mkubwa zaidi kuwazidi wasemaji wa serikali au madaktari wetu.
Watu wasiitegemee sana serikali wala madaktari bali wajitahidi kuujua ukweli kuhusiana na ugonjwa huu. Mpaka sasa kuna madudu mengi tayari yamefanywa na serikali, ambayo kwa watu wanaouelewa ugonjwa huu, wasingefanya. Labda tu tumekingwa kwa neema ya Mungu tu lakini siyo kutokana na umakini wa Serikali.
1) Siku za karibuni serikali iliruhusu watalii toka China wakati nchi nyingine zimepiga marufuku ndege kutua nchini mwao kutokea China, achilia mbali kupokea watalii wa Kichina
2) Karibuni tena, pale JKN airport kuna watu wagonjwa ambao dalili zilionekana kushabihiana na zile za Corona, walipimwa na kuonekana negative, wakaruhusiwa kuingia mitaani. Ukweli ni kwamba siyo wagonjwa wote au watu wenye coronavirus, virusi hivyo huonekana kwenye vipimo. Inaonekana watu hawa wa serikali bado hawajaujua huu ugonjwa.
Tafiti za karibuni kabisa zinaonesha mambo yafuatayo:
1) Kirusi cha Corona kinaambukizwa zaidi kwa kushika sehemu aliyoishika mwathirika kuliko kwa njia ya kukohoa.
2) Kirusi cha Corona siyo airborn bali ni huenea kwa droplets za mate. Wale wanaoongea mpaka wanatema mate, kama ameathirika, ni wasambazaji wazuri
3) Kirusi cha Corona, kwa mfano muathirika akishika kwenye meza au akakoholea kwenye meza kinaweza kuishi hapo kwa siku kadhaa, hakuna anayejua kina uwezo wa kukaa siku ngapi. Kwa hiyo kwenye milango, ngazi, viti, meza, hata simu zetu - vyote vinaweza kueneza kwa kasi zaidi kuliko kushikana na kukohoa
4) Kirusi cha corona, kimeonekana kina uwezo wa kujificha na kisionekane kwenye vipimo. Inaaminika ni katika hatua zake fulani tu, ndiyo huonekana kiurahisi. Baadhi ya wagonjwa waliotibiwa, na kupimwa na kuonekana negative, baadaye walionekana wana uwezo wa kuendelea kuambukiza, wengine baadaye walionekana tena positive, na wengine walikufa baada ya kuruhusiwa na kutajwa kuwa wamepona.
Hiki kirusi siyo cha mzaha, kama ambavyo serikali yetu imekuwa ikichukulia.
Kenya tayari, DRC tayari, Rwanda tayari, Botswana tayari - Hatupo salama kama tunavyofikiria. Chukua tahadhari binafsi kuliko kuitegemea sana Serikali.
Serikali yetu inafahamika. Ni nyepesi sana kushugulikia mambo yanayotishia kupokonywa utawala na madaraka lakini siyo kwenye mambo ya msingi yanayohusu uhai, usalama na maisha ya wananchi wote.
Ikitokea ugonjwa huu ukaingia nchini mwetu, mzazi chukua hatua zako binafsi kama vile kumzuia mwanao kwenda shule kuliko kusubiri mpaka Serikali itangaze.
Kama una uwezo wa kuepuka usafiri wa umma, epuka kuanzia sasa kuliko kusubiri siku Serikali itakapotangaza. Watatangaza pale ambao tayari hali imekwishakuwa mbaya. Kama siyo lazima sana kusafiri, acha kusafiri kuanzia sasa, hii ni pamoja na safari za ndani.
Can you get coronavirus twice?

Airborn maana yake ni air transmitted,unavuta tu hewa unaipata.hii nyingine lazima kuwe na contact. Sasa kutokana na hizo contact ndo maana WHO imetoa guidence ya kunawa mikono Mara kwa Mara na kutumia stelirize zenye kiwango furani cha alcohol
Elimu yako ni duni sana then unakuja na mapovu yako ya kuwadharau Madaktari wetu ambao ndiyo wanakusaidia mpaka leo ili uendelee kutoa povu! Kunywa maji upunguze stress mkuu.Wengi tumeambiwa kuhusiana na ugonjwa wa Corona. Na wengi tunaamini kuwa sasa tunauelewa.
Tunapojihadhari na ugonjwa huu, mategemeo yetu makubwa ni serikali na wataalam wa afya, ambao tunadhani kuwa wana ufahamu zaidi kuliko sisi tusio watu wa fani ya tiba.
Jambo moja tunalotakiwa kujua ni kuwa mpaka sasa, kwenye ugonjwa huu, wote ni layman. Na inawezekana, mtu asiye mtaalam wa tiba, kama anajishughulisha kuufahamu ugonjwa huu kwa kupitoa maandiko mbalimbali ya wataalam wa huko ambako upo, akawa na uelewa mkubwa zaidi kuwazidi wasemaji wa serikali au madaktari wetu.
Watu wasiitegemee sana serikali wala madaktari bali wajitahidi kuujua ukweli kuhusiana na ugonjwa huu. Mpaka sasa kuna madudu mengi tayari yamefanywa na serikali, ambayo kwa watu wanaouelewa ugonjwa huu, wasingefanya. Labda tu tumekingwa kwa neema ya Mungu tu lakini siyo kutokana na umakini wa Serikali.
1) Siku za karibuni serikali iliruhusu watalii toka China wakati nchi nyingine zimepiga marufuku ndege kutua nchini mwao kutokea China, achilia mbali kupokea watalii wa Kichina
2) Karibuni tena, pale JKN airport kuna watu wagonjwa ambao dalili zilionekana kushabihiana na zile za Corona, walipimwa na kuonekana negative, wakaruhusiwa kuingia mitaani. Ukweli ni kwamba siyo wagonjwa wote au watu wenye coronavirus, virusi hivyo huonekana kwenye vipimo. Inaonekana watu hawa wa serikali bado hawajaujua huu ugonjwa.
Tafiti za karibuni kabisa zinaonesha mambo yafuatayo:
1) Kirusi cha Corona kinaambukizwa zaidi kwa kushika sehemu aliyoishika mwathirika kuliko kwa njia ya kukohoa.
2) Kirusi cha Corona siyo airborn bali ni huenea kwa droplets za mate. Wale wanaoongea mpaka wanatema mate, kama ameathirika, ni wasambazaji wazuri
3) Kirusi cha Corona, kwa mfano muathirika akishika kwenye meza au akakoholea kwenye meza kinaweza kuishi hapo kwa siku kadhaa, hakuna anayejua kina uwezo wa kukaa siku ngapi. Kwa hiyo kwenye milango, ngazi, viti, meza, hata simu zetu - vyote vinaweza kueneza kwa kasi zaidi kuliko kushikana na kukohoa
4) Kirusi cha corona, kimeonekana kina uwezo wa kujificha na kisionekane kwenye vipimo. Inaaminika ni katika hatua zake fulani tu, ndiyo huonekana kiurahisi. Baadhi ya wagonjwa waliotibiwa, na kupimwa na kuonekana negative, baadaye walionekana wana uwezo wa kuendelea kuambukiza, wengine baadaye walionekana tena positive, na wengine walikufa baada ya kuruhusiwa na kutajwa kuwa wamepona.
Hiki kirusi siyo cha mzaha, kama ambavyo serikali yetu imekuwa ikichukulia.
Kenya tayari, DRC tayari, Rwanda tayari, Botswana tayari - Hatupo salama kama tunavyofikiria. Chukua tahadhari binafsi kuliko kuitegemea sana Serikali.
Serikali yetu inafahamika. Ni nyepesi sana kushugulikia mambo yanayotishia kupokonywa utawala na madaraka lakini siyo kwenye mambo ya msingi yanayohusu uhai, usalama na maisha ya wananchi wote.
Ikitokea ugonjwa huu ukaingia nchini mwetu, mzazi chukua hatua zako binafsi kama vile kumzuia mwanao kwenda shule kuliko kusubiri mpaka Serikali itangaze.
Kama una uwezo wa kuepuka usafiri wa umma, epuka kuanzia sasa kuliko kusubiri siku Serikali itakapotangaza. Watatangaza pale ambao tayari hali imekwishakuwa mbaya. Kama siyo lazima sana kusafiri, acha kusafiri kuanzia sasa, hii ni pamoja na safari za ndani.
Can you get coronavirus twice?
Kubwa jinga wewe ugonjwa umeshaua watu zaidi ya 5000 unasema huoni Jipya?? WHO wameshautangaza Kama Global disease wewe uko huko kwenu Maramba-Mawili umejiegeza kwenye chumba chako na kisimu chako Cha Samsung unasema huoni Jipya ...
Kila nchi inayojielewa inachukua hatua stahiki ili kujizuia na hayo maambukizi wewe unaleta blablaaaaa zako hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bams, mamlaka ya anga imechukua hatua kukabiliana na ugonjwa huu.
Kama kusingekuwa na hatua za kisasa za kupambana na janga hili leo hii tungekuwa na wagonjwa wengi sana lakini hakuna akiyeripotiwa mpaka jumapili hii.
Tatizo letu kila tunalolifanya tunaona kama tunakosea na kila analofanya mgeni tunaona lipo sahihi.