Coronavirus bad karma for one term Donald Trump presidency

Dow Jones inaanguka siyo kwa sababu ya mlipuko wa ugonjwa wenyewe bali ni kwa sababu ya kuona kuwa Trump hana uwezo wa kudhibiti ugonjwa huo. Milipuko ya magonjwa imekuwa inatokea lakini Dow jones huwa haianguki kiasi hicho. Angalia historical records za Dow Jones, milipuko yote ilikuwa inasababisha dow Jones ipande tena kwa silimia kubwa tu, lakini sasa hivi ndiyo hivyo. Hekima ilifundisha kuwa anayejitanguliza huwa ndiye anakuwa wa mwisho. Ni afadhali ufanye kazi yako bila majigambo uiachie historia ndiyo ikuamue. Siku moja Trump aliulizwa kama anachukua responsbility yoyote (the buck stops here) akasema hapana, ila anamlaumu Obama! Kiongozi gani huyo

View attachment 1397276
Did you follow Dow Jones na economic data(payrolls) on Friday? I said it before, Dow Jones will be historical high before Election Day!
 
Hii Pandemic kwa upeo wangu itamsaidia sana Trump wakati wa uchaguzi.
Kwa sababu kama ulikuwa unafuatilia stock market kabla ya Coronavirus ilikuwa kwenye full force, UP. Na makampuni mengi yalikuwa overprice. Investors wangeanza kuuza wakati wa uchaguzi, to take opportunity of high Share prices! Na inge trigger recession wakati wa uchaguzi.
Lakini kuna investors walishauza na sasa hivi tunarudi kwenye bull market.
Trump atajitetea na ameshaanza kusema, I’m going to serve the economy again! Anza kufutilia economic data kuanzia week ijayo utaona zitavyomsaidia!
Saa nyingine naona kama hii Corona ni ujanja wa Marekani na China ku lower the stock markets!
 
Wakati ukuta Novemba haiko mbali!
 
Did you follow Dow Jones na economic data(payrolls) on Friday? I said it before, Dow Jones will be historical high before Election Day!
Kwa kutumia Technical analysis DOW JONES itadondoka zaidi huu mwaka , kinachofanyika sasa ni kuenda kuretest resistance hapo ilipotoka au ikazidi kidogo to around 30000.

Kwa technical analyst anaeweza tafsiri tabia za candlestic ,hiyo bearish move ya February na March ni kubwa sana , hakuna inayoendena nayo kwa miaka mingi,imezidiwa kidogo tu na ile bearish move ya 1929, ilivyoanza.

Tofauti ndogo kati ya ile move na hii ni kwamba ile move ilizidi kidogo hii kwa hatua ya awali na buy retest haikwenda mbali ,wakati ya sasa imekuwa move iliyozidiwa na ile ya 1929 ila buy retest yake itaenda juu zaidi kidogo ya ile ya miaka hiyo .

ukija kwenye Fundamental factor bado hali sio nzuri ,Unemplyment rate ya May ambayo ni 13% bado ni ongezeko dogo la ile ya APRIL 14% na ndani ya miezi kadhaa ya huu mwaka inategemewa itaongezeka sana na ikumbukwe rate kubwa kabisa ilikuwa 24% kipindi hicho cha Great Depression.

Mimi si wale wanaoamini kwamba raisi ndio anasababisha kuanguka kwa uchumi ila amekutana na bahati mbaya mdororo mkubwa wa uchumi unatokea akiwa yeye ndie rais so msalaba ataubeba yeye.
 
Wewe unajua haswa unaloongea, kuna watu wengi ni bandwagon tu. Unajua Trump alifanya kosa mojawapo la kujisifia kwa ajili ya Dow Jones tu, wakati parameters nyingine zikibaki zile zile alizoacha Obama- lakini bado akataka ziwe zake; Dow Jones ni gambling wala haiwi controlled na Rais aliyeko madarakani, lakini yeye akawa anataka kuchukua Credit zote. Sasa ukitaka credit wakati Dow inapanda, ni lazima pia ukubali lawama inapoporomoka. Fundamentals za uchumi ziko against ukuaji wa Dow tena.
 
Kwa kutumia Technical analysis DOW JONES itadondoka zaidi huu mwaka , kinachofanyika sasa ni kuenda kuretest resistance hapo ilipotoka au ikazidi kidogo to around 30000.

Kwa technical analyst anaeweza tafsiri tabia za candlestic ,hiyo bearish move ya February na March ni kubwa sana , hakuna inayoendena nayo kwa miaka mingi,imezidiwa kidogo tu na ile bearish move ya 1929, ilivyoanza.

Tofauti ndogo kati ya ile move na hii ni kwamba ile move ilizidi kidogo hii kwa hatua ya awali na buy retest haikwenda mbali ,wakati ya sasa imekuwa move iliyozidiwa na ile ya 1929 ila buy retest yake itaenda juu zaidi kidogo ya ile ya miaka hiyo .

ukija kwenye Fundamental factor bado hali sio nzuri ,Unemplyment rate ya May ambayo ni 13% bado ni ongezeko dogo la ile ya APRIL 14% na ndani ya miezi kadhaa ya huu mwaka inategemewa itaongezeka sana na ikumbukwe rate kubwa kabisa ilikuwa 24% kipindi hicho cha Great Depression.
Hatuna ushahidi wowote ambao tunaweza kutetea points zetu lakini ninaamini Dow Jones itakuwa well above 30,000 wakati wa uchaguzi. Nitakukumbusha wakati ukifika!

Mimi si wale wanaoamini kwamba raisi ndio anasababisha kuanguka kwa uchumi ila amekutana na bahati mbaya mdororo mkubwa wa uchumi unatokea akiwa yeye ndie rais so msalaba ataubeba yeye.
Mkuu ninatofautiana sana wewe kwenye ili la Dow kudondoka zaidi mwaka huu!
Ila hatuwezi kuweka ushahidi wowote wa kutetea points zetu hapa zaidi ya maono yetu!
Ninaamini Dow itakuwa well above 30,000 wakati wa uchaguzi!
Haya maandamano yakiendelea Dow Itafika 28,000 this week. Halafu yakisitishwa itashuka kidogo kabla ya kushot to 29,000

Kama ni sawa, nitakukumbusha wakati wa uchaguzi!
 
Back
Top Bottom