zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 22,744
- 36,266
Idadi ya vifo inatisha lakini against what?? Namba ya waathirika wote??Kumbe ni overrated? ila tatizo idadi ya vifo inatisha.
Ah wapi!
Mimi siyo ‘panicker’ kabisa.
Sijajaza mivyakula wala toilet paper kuliko ilivyo kawaida.
Bado nawashangaa tu wanaofanya hivyo!
Sasa hivi nimetoka kununua shampoo hapa.
Hali bado iko vilevile. Hebu ona ilivyo kwenye aisle ya mikate na jams.
Jams zipo. Mikate ndo ya kuhesabu.
View attachment 1389545
Kwenye maziwa nako hali si nzuri kivile.
View attachment 1389546
Kule kwenye paper products ni kweupe.
View attachment 1389547
Hawa watu bana
Ina maana vyombo vikubwa vya habari mfano CNN,BBC n.k vinalikuza tu hili gonjwa? Au sababu limeanzia China?Idadi ya vifo inatisha lakini against what?? Namba ya waathirika wote??
Ni hivi.... Mortality rate ya Hii virus ni 3-4% kwa takwimu za wiki iliyopita yaani katika kila watu 100 walioambukizwa basi ni watatu pekee wanaofariki.
Kwahiyo ukisikia watu elfu tatu wamekufa mpaka sasa then fahamu kuna watu laki moja wamesurvive mpaka sasa.
huu ugojwa ni wakawaida sanaa sema midia zime ukuza mnooo ila takwimu zina kataa kusema kuwa ni ugojwa hatari tena kwa africa watu weusi hatuna sababu yakuogopa sababu hakuna historia ya virusi vya jamii ya mafua kuwahi kuwa tishio kwa mtu mweusi mwenye asili ya bara la africa.Kuna uzi niliwaambia watu hili jambo kuwa waathirika wengi wana recover jamaa wakanicheka kinyama.
Nasikia Seattle wamepata chanjo
Waambie wasipanic
Sisi huku hata barabara ni tupu unaweza kulala
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hata pande hizi barabara ni tupu!
Watoto wanasoma kupitia iPads.
Wazazi wanabeba boksi kupitia laptops.
I can understand the hype and panick behind over-buying of saniters, and masks.Gumzo la dunia hivi sasa ni kirusi cha Corona.
Kirusi hiki kimeleta kizaizai na sokomoko kila pembe ya dunia.
Nchini Marekani kuna sintofahamu kubwa.
Hakuna ajuaye mwisho wa huyu kirusi.
Hali hiyo imepelekea kutokea kitu kinachoitwa ‘panic buying’.
Sasa hivi ukienda kwenye maduka-masoko [supermarket] mengi kuna baadhi ya bidhaa kuzipta ni mbinde.
Bidhaa hizo ni kama karatasi za chooni, taulo za karatasi, jeli za kusafishia mikono, na kadhalika.
Rafu za maduka-masoko mengi zipo tupu. Hiyo ni kwa sababu watu wengi wanazinunua hizo bidhaa kwa wingi kuliko ilivyo kawaida. Jambo linalopelekea kuwepo na uhaba wa hizo bidhaa kwa sasa.
Hebu ona hizo rafu hapo chini. Ni kutoka duka-soko la Publix.
View attachment 1388155View attachment 1388157View attachment 1388158View attachment 1388159
Sielewi kwa nini watu wanakimbilia sana kuzinunua hizo bidhaa na kuzihodhi majumbani mwao.
Kwangu jambo lenye mantiki zaidi na bora ni kujiwekea akiba ya pesa kuliko kutumia pesa na kununua vitu ambavyo kama itatokea umeugua na hicho kirusi, havitakusaidia kupata nafuu.
Badala ya kununua dawa, watu wananua makaratasi ya chooni!
Halafu Wamarekani wana tabia ya ku-panic sana.
Corona siyo kiama. Lakini jinsi watu wanavyofanya mambo hivi sasa, utadhani kiama ndo kimefika.
Sielewi. Na wala siogopi.
I ain’t never scared 💪🏿
I can understand the hype and panick behind over-buying of saniters, and masks.
Ila toilet papers? Why? Hivi toilet papers zinakuzuia vipi against corona au zinakusaidia vipi pale unapopata COVID-19?
Nyani Ngabu
Wanajihami mapema huenda wakaambiwa wasalie majumbani mwao siku zijazo.I can understand the hype and panick behind over-buying of saniters, and masks.
Ila toilet papers? Why? Hivi toilet papers zinakuzuia vipi against corona au zinakusaidia vipi pale unapopata COVID-19?
Nyani Ngabu
Anyways, labda ni utofauti wa culture and habits.Wanajihami mapema huenda wakaambiwa wasalie majumbani mwao siku zijazo.
Seriously kabisa?Hata sielewi aisee!!
Watu hadi wanapigana kwenye supermarkets kwa ajili ya toilet paper.
Huu ni umajinuni kabisa.
Anyways, labda ni utofauti wa culture and habits.
Mimi hata nikijua kuwa nitalazimika kutotoa nje ya nyumba kwa siku kadhaa, and i have to stock-pile my needs; Toilet papers hata sitaifikiria kabisa, maana natumia maji, swafiiiiii kabisa, mi toilet paper ya kazi gani sasa?
Hapa ndo mtu una appreciate vizuri utofauti wa mahitaji kulingana na tamaduni na tabia.
Proved
Hata pande hizi barabara ni tupu!
Watoto wanasoma kupitia iPads.
Wazazi wanabeba boksi kupitia laptops.
Hata mimi nashangaa wy corona is overratedAsilimia kubwa ya wanaopata hayo mafua ya Corona wanapona.
Pia, unaweza kuwa na hayo mafua na wala usijue na yenyewe yakaisha hivyo hivyo.
Panic iliyopo haiendani kabisa na athari zake.