Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,062
- 136,431
- Thread starter
-
- #61
Ulaya nako wanafanya binge buying?
Watu wanajilinda baada ya kuona uzembe wa viongozi wetu juu ya hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashindwa kuelewa pia.watu wamekosa utu kabisa.wamehakikisha duka limebaki jeupeeeSana mkuu na baadhi ya vitu hakuna kwenye shelves
Bidhaa zimepanda bei sana, wamegombania mpaka madawa na disinfectant wipes
Hali ni mbaya kwa kweli na hii nilipiga juzi Sainsbury’s
View attachment 1388664
Sent from my iPhone using Tapatalk
Nashindwa kuelewa pia.watu wamekosa utu kabisa.wamehakikisha duka limebaki jeupeeeView attachment 1389355View attachment 1389356View attachment 1389358View attachment 1389359View attachment 1389362View attachment 1389364
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hivi..huu ugonjwa umetengenezwa laboratory. Unauwezo kusambaa kwa kasi sana hasa kanda za nyuzi joto chin ya nyuzi 20.
Huu ugonjwa unaweza kupona au ukafa kutegemea na immune status ya mgonjwa. Sasa imelenga kupunguza population kwa kuuwa wanadam wenye weak immune system.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashindwa kuelewa pia.watu wamekosa utu kabisa.wamehakikisha duka limebaki jeupeeeView attachment 1389355View attachment 1389356View attachment 1389358View attachment 1389359View attachment 1389362View attachment 1389364
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara paap Corona haiwapati weusi popote wakiishi na Wazungu kupona kwao lazima waishi Africa... Dah hapo ndipo tunapohamia Europe na America na Wazungu wote wanakuja Africa.. Watanzania wote Spain na waSpain wote wanahamia Bongo..
People are so greedy
Yaani wanajaza stock kama hakuna kesho
Hiyo wapi Mkuu maana sio kwa kusafisha huko
Nafikiri baada ya wiki mbili wataanza kuuza tena
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hivi siki likitokea janga la kikweli kweli, watu sijui watafanyaje tu!!
Naona watauwana kwa chakula na mpaka trucks za vyakula watateka
Hali ni mbaya kwa kweli ila nao wamezidisha
Mkuu wewe hujajaza chakula
Mimi nasubiri waishiwe hela hawa watu maana wanavyogombania utafikiri wameambiwa ndio mwisho wa production
Sent from my iPhone using Tapatalk
Quebec CanadaPeople are so greedy
Yaani wanajaza stock kama hakuna kesho
Hiyo wapi Mkuu maana sio kwa kusafisha huko
Nafikiri baada ya wiki mbili wataanza kuuza tena
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kumbe ni overrated? ila tatizo idadi ya vifo inatisha.Asilimia kubwa ya wanaopata hayo mafua ya Corona wanapona.
Pia, unaweza kuwa na hayo mafua na wala usijue na yenyewe yakaisha hivyo hivyo.
Panic iliyopo haiendani kabisa na athari zake.