Coronapocalypse

Ebola wamekufa afrika. Pia ujue huku ulaya
Grippe huwa inawaondoa wazee wengi. Wenzetu wanapenda kuishi na kulinda Wale wanaowazunguka. Wazee wako hatarini sana kwa uwepo wa coranvirus. Watu wanataka majibu ni Nini. Kinaambukizaje na Basi kama Kuna chanjo. Watu waliokuwa na kila kitu kasoro furaha za moyoni wanapenda kujua Sio kuhangaika tu. Ukipata Grippe 🤧 unakaa ndani Karibu siku tano to saba. Haina dawa Ina vitulizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inachekesha watu wanakimbilia kununua karatasi za kufutia matako, 😀😀😀 badala ya kustock up supplements za kuboost immunity...

Watu wana hofu ya njaa siyo ugonjwa...

Bongo aah tupo tunabinyamana tu kwenye mwendokaraha...

Everyday is Saturday....................😎
 
Asilimia kubwa ya wanaopata hayo mafua ya Corona wanapona.

Pia, unaweza kuwa na hayo mafua na wala usijue na yenyewe yakaisha hivyo hivyo.

Panic iliyopo haiendani kabisa na athari zake.
Hata mimi nashangaa sana. Hivi toilet papers au hand papers zina ulazima gani wakati wa shida? Kwangu mimi hivi ni vitu ambayyo haviko kwenye list ya umuhimu kabisa. Na pia bidhaa nyingine wanayonunua kwa panic ni maji ya kunywa.
 
Asilimia kubwa ya wanaopata hayo mafua ya Corona wanapona.

Pia, unaweza kuwa na hayo mafua na wala usijue na yenyewe yakaisha hivyo hivyo.

Panic iliyopo haiendani kabisa na athari zake.

Na nnahisi hicho ndo kinachoweza kuwa kinatokea huku kwetu.
 
Hata mimi nashangaa sana. Hivi toilet papers au hand papers zina ulazima gani wakati wa shida? Kwangu mimi hivi ni vitu ambayyo haviko kwenye list ya umuhimu kabisa. Na pia bidhaa nyingine wanayonunua kwa panic ni maji ya kunywa.

Ongezea cereal, tambi, mchele, na maziwa.

Ila hofu ni ya bure tu.

The only thing they have to fear is fear itself.
 
naona wazungu wana exaggerate mambo sana,

corona asilimia kubwa ya wagonjwa wanapona na unaweza kupata iyo corona kimya kimya alafu usijue life likaendelea, vifo ni vichache kuliko wanao recover.. kwa facts hizi sioni tishio kubwa la huyu kirusi (corona)

sielewi uko ulaya wanadatika na nini haswa kwa hili gonjwa
 
Sasa hivi hata mtu ukipata mafua ukienda kupimwa si ajabu wakakwambia una Corona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…