Corona: Ya Burundi ni somo tosha, hala hala majuto ni mjukuu

Haya ya "stroke" inayo ishia kwenye "cardiac arrest" tuliyafahamu mapema sana kabla ya leo:

"Wenzetu walipo tayari wameshaonja joto ya jiwe. Mengine tunayoambiana kuhusiana na strokes nk, hizo zinabakia kuwa ni mbwembwe tu, ambazo aghalabu hapa kwetu hizo tunajua kuzicheza zaidi."

Ama kweli, majuto ni mjukuu.
 
Corona sio ugonjwa wa kutuweka ndani hata siku moja km ungekuwa ni ugonjwa wamaana sana tungeshajua mapema sana
Punguza kuogopa vinyago vilivyochongwa na jirani yko
 
Corona sio ugonjwa wa kutuweka ndani hata siku moja kama ungekuwa ni ugonjwa wamaana sana tungeshajua mapema sana

Punguza kuogopa vinyago vilivyochongwa na jirani yko

Inasemekana kwa kenge kusikia hadi damu zimtoke masikioni.

Kwani damu tayari zisha kutoka mkuu?

Zikisha kutoka sema mkuu uelimishwe.

Huko unakosema ni kukaa ndani ni dalili ya maluweluwe ya kutokusikia tu.
 
Achana na siasa ndio zunakuharibu akili

Mpaka huwezi kufikiria na akili zako timamu unasubiri habari za kupikwa pikwa
 
Kunguru wewe achana na siasa ndo zunakuharibu akili

Mpk huwez kufikiria na akili zako timamu unasuhir habari za kupikwa pikwa

Unaota siasa?

Huu hauko kwenye jukwaa la siasa.

Jiridhishe kuwa uko jukwaa husika. Hata vyooni jiridhishe jinsia kwanza.

Ndiyo ustaarabu huo.
 
Na leo nimeona gari lenye bendera ya Burundi likiingia Serena Hotel.... nadhani wametuma muwakirishi woyiii twafa
 
Na leo nimeona gari lenye bendera ya Burundi likiingia Serena Hotel.... nadhani wametuma muwakirishi woyiii twafa

Wanaita principal of reciprocity. Wamekuja ndugu zetu kutuhani kama tulivyokwenda kuwahani wao.

Hatuna sababu ya kuhofu Corona yao maana angalau wao sasa hivi wanachukua hatua kweli kweli na hata mipaka wamefunga.

Kama ni Corona sisi sasa hivi tutakuwa ndiyo baba lao. Tunayo ya kutosha hata for export.

Mjukuu ndiye huyo tunaye semezana naye hivi sasa.
 
Kama umeweza kujua kuwa Tz corona ipo ya kutosha(ipo kwa wingi) tena bila watu kupimwa ni wazi pia utakuwa unajua ni kiwango cha athari ya corona tulichonacho Tz.

Wengine tunaona tu maisha yapo kama kawaida hatuoni athari au kujua corona imeatuathiri kiasi gani,sasa kwa mfano wewe mkuu ukiulizwa hali ya corona kwa Tz utaeleza vp? maana mwenzetu umeweza kujua kuwa ipo kwa wingi.
 
Mtu mzima anatishwa je mkuu?

Hata Burundi walikuwa wanasema hawakuwa na Corona. Angalia rekodi zao leo zinasema je.

Waliendelea hivyo hivyo pia hata walipokuwa wakiwatimua wale jamaa wa WHO.

Sasa hivi ni government in disarray!

Tungali na nafasi ya kutofika huko.
Kuna suruhisho mkuu!
Unaweza ukaamua kuji lock down mwenyewe pamoja na familia yako mkawa salama kama tu hukubaliani na approach ambayo Tanzania imei adopt kukabiliana na Corona chini ya uongozi wa JPM! Lakini kama ni tahadhari hata tunazichukua huku tukiendelea na shughuli zetu, sioni kosa laserikali kwenye hii issue ya Corona
 
Wanaita principal of reciprocity. Wamekuja ndugu zetu kutuhani kama tulivyokwenda kuwahani wao.

Hatuna sababu ya kuhofu Corona yao maana angalau wao sasa hivi wanachukua hatua kweli kweli na hata mipaka wamefunga.

Kama ni Corona sisi sasa hivi tutakuwa ndiyo baba lao. Tunayo ya kutosha hata for export.

Mjukuu ndiye huyo tunaye semezana naye hivi sasa.
Mkuu bila watu kupimwa wewe unajuje corona ipo ya kutosha?
 
Back
Top Bottom